pump

A pump is a device that moves fluids (liquids or gases), or sometimes slurries, by mechanical action. Pumps can be classified into three major groups according to the method they use to move the fluid: direct lift, displacement, and gravity pumps.Pumps operate by some mechanism (typically reciprocating or rotary), and consume energy to perform mechanical work moving the fluid. Pumps operate via many energy sources, including manual operation, electricity, engines, or wind power, come in many sizes, from microscopic for use in medical applications to large industrial pumps.
Mechanical pumps serve in a wide range of applications such as pumping water from wells, aquarium filtering, pond filtering and aeration, in the car industry for water-cooling and fuel injection, in the energy industry for pumping oil and natural gas or for operating cooling towers and other components of heating, ventilation and air conditioning systems. In the medical industry, pumps are used for biochemical processes in developing and manufacturing medicine, and as artificial replacements for body parts, in particular the artificial heart and penile prosthesis.
When a casing contains only one revolving impeller, it is called a single-stage pump. When a casing contains two or more revolving impellers, it is called a double- or multi-stage pump.
In biology, many different types of chemical and biomechanical pumps have evolved; biomimicry is sometimes used in developing new types of mechanical pumps.

View More On Wikipedia.org
  1. Pump ya mafuta petrol station

    Hivi ukienda kujaza mafuta sheli iwe diesel au petrol au mafuta ya taa,hivi kwenye ile mashine[pump yenye mpira na gang anayowekwa kwenye chombo ili akipress mafuta yatoke,hapa Swali ni je! Yale mafuta yako kwenye mpira pale au yako kwenye gang pale kichwani kabisa au ukipress yanatoka kwenye...
  2. Mwanachama Proton Pump huyu jamaa ni Hazina ya Taifa

    Wakuu hii nchi ingekuwa na watu kama huyu proton pump aisee nchi ingesonga mbele itoshe kusema huyu jamaa ngoja nimpe maua yake hata kabla hajafa mwisho nakaonekana mnafiki jamaa ana madini sana Aisee hatari kiukweli kupitia yeye 90 percentage ya matatizo yangu yanaenda kupona! Shukrani Sana...
  3. Anatafutwa anayeuza au mahali wanapouza submissible water pump 1.5hp na capacitor yake ya ndani

    Nimekuja hapa kuuliza bei na mahali wanapouza SUB MISSIBLE WATER PUMP 1.5HP maana yangu imeungua CAPACITOR YA NDANI Nipo MWANZA
  4. Kwa shughuli za kiufundi karibu Hydroventure Technical Services tunapatikana mkoani Mwanza

  5. Request For Tender – Supply of Vacuum pump at Barrick August, 2024

    REQUEST FOR TENDER North Mara Gold Mine, a fully owned subsidiary of Twiga Minerals Corporation, which is ultimately owned by Barrick Gold Corporation and the Government of the United Republic of Tanzania requests the submission of Tenders from reputable, experienced, certified, and qualified...
  6. J

    Mradi wa maji Same - Mwanga 90% ya utekelezaji, aweso awasha pump kusukuma maji kwenda tenki la mwisho

    MRADI WA MAJI SAME - MWANGA 90% YA UTEKELEZAJI, AWESO AWASHA PUMP KUSUKUMA MAJI KWENDA TENKI LA MWISHO. Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Same Mwanga Korongwe ambao umefikia asilimia 90 ya utekelezaji wake ambapo ameshuhudia mifumo ya kutibu maji imekamilika...
  7. Tunauza na kufunga pump za maji kwa ajili ya mifumo inayotumia nishati ya jua na umeme

    Furahia umeme wa nishati ya jua (Solar Energy) kwa gharama nafuu ambazo zitakupunguzia ulipaji wa bili kubwa za umeme,utumiaji mkubwa wa mafuta kwa ajiri ya uendeshaji wa pump za maji.Karibu tukufungie Automatic Power Backup System,Solar Pumping System za gharama nafuu kabisa. Tunapatikana...
  8. Mbeya: Watu wawili washikiliwa kwa kukutwa na bunduki aina ya Shotgun Pump Action bila kibali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Nerbat Bwiga (33) mkazi wa Ifumbo na Isaya Zumba (38) mkazi wa Airport Songwe kwa tuhuma ya kupatikana na silaha bunduki moja aina ya Shotgun Pump Action bila kibali. Akizungumza na waandishi wa habari Mei 15, 2024 Kamanda wa Polisi...
  9. K

    Pump Gani naweza kufunga kumwaga maji mita 600 hadi 1000 kutika chanzo cha maji?

    Wadau wa kilimo naomba ushauli ninashamba la mapunga liko kati ya mita 6000 Hadi MITA elf 1 ,je pump zipi ninunue?JE petrol nch 3 hadi 4 au pump ya diesel nchi ya Bomba la nchi 3 u nne au unavyoona inafaa
  10. Solar Water Pump Engineer with Water Filtration Experience at Power Providers Ltd November, 2023

    Position: Solar Water Pump Engineer with Water Filtration Experience Location: Arusha, Tanzania Position Type: Full-Time Reports to: Managing Director Responsibilities: Solar water pumping system design: use third party software to design solar water pump systems using Lorentz COMPASS...
  11. Pedrollo 0.5 hp water pump haipandishi maji

    Habari za leo wakuu, Nimenunua pedrollo 0.5 hp water pump kwa ajili ya matumizi ya kujaza maji kwenye matenki ya matumizi madogomadogo hapa nyumbani lakini kila nikiwasha na nikifanya primming naona bado haiwezi kupandisha maji, Yeyote aliyewahi kukutana na changamoto kama hii...
  12. K

    Tafuta wauuzaji wa water pump Tanzania

    Je, unatafuta muuzaji wa water pump Tanzania? National commercial Directory ndio mahali pa kwenda! Tuna orodha kamili ya wauzaji na wasambazaji wa water pump nchini Tanzania. Unaweza kuchuja matokeo yako kwa eneo, aina ya pump, na bei. Pia unaweza kusoma hakiki za wateja ili kupata muuzaji bora...
  13. Tunauza Water pumps za Solar

    Tuna pampu ndogo hadi kubwa za kutoa lita 30,000 kwa saa. Bei. Surface pump na submersible 0.5hp lita 2000kwa saa. complete tsh 700,000. 2hp ya kudmbukiza lita 8000 kwa saa, mita18head tsh 2,300,000 2hp ya surface lita 30000 kwa saa Tsh 3,000,000. zipo pia za mita hadi 150. 0747591578...
  14. K

    Pump ipi bora ya kumwagilia shamba ekari 50 umbali wa mita 800 kutoka ziwani?

    Wadau ninashamba la ekari 50 ukanda wa ziwa victoria Nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji WA mahindi na mpungu wakati wa masika na kiangazi. Shamba Kikimit 700 800 kutoka ziwani. Je, wazoefu nitumie aina gani ya pump naomba na ushauri na specifications Kwa pump za solar dizek na petrol.
  15. M

    Natafuta Turbo na fuel Pump ya Nissan Patrol Y61, engine zd30

    Habari ya leo wakuu, Natafuta Turbo pamoja na fuel pump ya Nissan Patrol Y61, ZD30 engine tafadhali nicheki whatsapp kama unayo, Asante. +255675308774
  16. A

    Pump ya kumwagilia maji 250000 TU

    Wadau ninauza pump hii hapa chini, Pump ni imara sana aina ya Robin kutoka Japan, inatumia mafuta kidogo sana . KARIBUNI
  17. Mining crusher water pump for sale

    Mzungu kalewa, brand new crusher water pump inauzwa kwa bei ya kutupa. Bei million 15 cash unachukuwa. Location: Dar esalaam
  18. Natafuta imersible water pump (shimge) 0.75hp

    Wakuu habari? Vibaka wameniotea bwana wakaamua kuniachia box lake tu, sasa nimezunguka kuitafuta nmekosa. Kama kuna duka kwa DSM hapa nielekezeni ase.
  19. Nitapata wapi solar panels orginal ambazo zinaweza kusukuma pump ya maji kwa wingi na je zinaweza kuwa pannel ngapi na zitakuwa na gharama kiasi gani?

    Wakuu habari za ijumaa ya leo naimani tuko salama humu ndani. Kama kichwa kinanavyojieleza hapo naomba kama kuna mtaalamu wa solar atupe elimu kidogo, kuhusiana na aina gani za Solar ni orginal na je naweza kufunga panel ngapi ambayo zinaweza kusukuma mashine ya maji kwa wingi kwa ajili ya...
  20. Water pump inaitajika

    Habari wakuu naitaji msaada jinsi ya kupata pump Kama iyo apo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…