pumu

  1. T

    KWELI Paka huchochea Pumu

    Nimekuwa nikisikia watu wakisema usicheze na paka au usikae naye karibu utapata pumu, je hii ni kweli?
  2. Haya wale Wagonjwa wenzangu wa Ugonjwa wa Kitajiri wa Pumu (Asthma) leo ni Siku yetu ya Kimataifa

    Zifuatazo ni faida chache walizonazo Wagonjwa wote wa Pumu ( Asthma ) duniani 1. Wengi wao huwa ni Werevu sana 2. Wataugua Magonjwa yote ila kamwe hawatapa UKIMWI ( Dally Kimoko ) 3. 99% huwa au huja kuwa Matajiri sana kwani Kiasili huu ni Ugonjwa wa Kitajiri na Matajiri 4. Katika Mapenzi...
  3. M

    Tiba ya ugonjwa wa Pumu ya ngozi

    Habari za muda wakuu!!! Jmani naomba msaada kwa anaejua dawa ya kienyeji ya PUMU ya ngozi. Mwanangu anasumbuliwa sana nahuu ugonjwa, nimeshampeleka MUHIMBILI, EKENYWA, REGENYCY na tukapewa dawa na mafuta ya kupaka ya EPIMAX JUNIOR. Anapona kwa muda ila baadae inaanza tena. Naombeni ushauri...
  4. Kwa wenye tatizo la PUMU, jaribu tiba hii inaweza kukusaidia ama kukuponyesha kabisa

    Salaam, Natumai wote mmeamka salama. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika je unasumbuliwa na Pumu? Basi inawezekana leo upo mahali sahihi pa kupata tiba ambayo inaweza ondoa kabisa hilo tatizo lako na ni tiba isiyohusisha madawa ya hospitalini, bali chakula tu. Chukua kweme, kwa...
  5. Mzazi mwenye Pumu afanye nini ili kumuepusha mtoto ajaye na Pumu ya kurithi?

    Mwanamke mwenye Pumu afuate taratibu zipi ili kumuepusha kijacho wake na Pumu?
  6. Mpenzi wa rafiki yangu kabanwa na pumu akiwa chumbani kwa jamaa

    Habarini za uzima wakuu, rejeaa mada husika hapo juu. Kumekuwa na misemo mingi inayozungumzia athari za uzinzi ,mmojawapo ni "uzinzi gharama". Masaa mawili au chini ya hapo Leo tarehe 30 05 2021, roommate wangu kakoswa koswa na balaa la kufiwa na mtoto wa mwenyewe room kwetu. Ilikuwa majira...
  7. J

    Undani wa ugonjwa wa pumu, dalili na namna ya kukabiliana nao

    Pumu au ‘asthma’ ni moja kati ya magonjwa hatari sana yanayoathiri mfumo wa upumuaji ambao huathiri takriban watu million 130 duniani kote. Ingawa hakuna sababu ya moja kwa moja ya kupelekea kupata ugonjwa huu, utafiti umethibitisha ya kuwa ugonjwa huu hutokea kutokana na sababu kuu mbili, yaani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…