Kuna mwamba amenicheki jana, akawa na malalamiko yake ana mdate dada wa miaka 37, na yeye mwamba ako na miaka 45
Sasa kero yake moja tu, anasema wame date kwa miezi 6, juzi dada anamwuliza huyu kaka swali hili;
''Babe, samahani nikuulize swali, eti kwanini unanipenda, kwanini umenichagua...