punguzeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rorscharch

    Ndugu Zangu Waislamu. Ikifika kipindi cha mfungo basi punguzeni maigizo

    1. Unazini mwaka mzima ukija Mwezi huu ulivyokuwa mrahibu wa ngono unaharalisha ufuska wako kwa kuoa single maza ambaye unaachana nae miezi mitatu baadae (ungefunga ngono badala ya chakula ungekuwa umefanya cha maana) 2. Kila siku wala kwa meza migahawani ila leo eti unataka wakuwekee kwenye mkeka
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Wanawake punguzeni kidogo kutumia sura bandia, mnatumia sana chujio (filtering)

    Wiki mbili zilizopita nilihudhuria semina fulani ya masuala ya Kitalaamu (Profession). Basi nikapata fursa ya kuonana na watalaamu wenzangu ambao baadhi tulikuwa nao kwenye magroup ya WhatsApp Kitu nilichokiona wanawake wengi wao zile sura za kwenye WhatsApp profile hazikuwa halisi. Wengi...
  3. K

    Ushauri wa Afya za viongozi: Lissu, Samia na Mpango punguzeni uzito wa mwili

    Mimi binafsi najua kwamba afya zetu ni muhimu sana ! Tunavyokuwa watu wazima ni lazima tubadilike bila hivyo magojwa yanaongezeka sana. Mimi binafsi napata shida sana kupungua na kwasababu hiyo nakula mara mbili kwa siku mlo wangu wa kwanza ni kuanzia saa nne na nusu asubuhi na wa mwisho sio...
  4. kavulata

    Tupunguzeni kula, sio majini ni pressure tu inatumaliza

    Masheikh wetu wanaongoza kwa magonjwa yanayosababishwa na kula (,metabolic deases); shinikizo la damu, uzito mkubwa na kisukari. Magonjwa haya ya chakula yanawaandama masheikh wetu sana kiasi cha kusingiziana kurogana na kutupiana majini hasa pale inapotokea masheikh kupata kiharusi, kuanguka...
  5. Blaszczykowski

    Mkipokelewa simu kitengo cha huduma kwa wateja dstv punguzeni story

    .
  6. T

    DOKEZO TRA na Askari barabara ya Tanga-Segera punguzeni rushwa

    Ni wiki sasa imepita tangu nipitie njiapanda ya Segera askari wengi wakishirikiana na baadhi ya maofisa wa T.R.A hapo wanapokea rushwa wazi wazi bila woga . Wakati wa usiku unapofika hapo askari anakuwahi mlangoni umpe pesa kama huna ndio kipengele unataftiwa kosa la kukufanya uingize gari...
  7. Mowwo

    Wanawake punguzeni kinyaa linapokuja swala la kufanya Mapenzi

    Bila shaka mko poa Wakuu kwa nyakati tofauti mimi nimeshapitia mahusiano kadhaa ambayo wakati mwingine kila kitu kipo sawa lkn kwenye mapenzi kinyaa kinaondoa utamu wa penzi. Nimewahi kua na mrembo mmoja ivi anataka afanyiwe kila kitu(umkiss mwili mzima na upige shoo ya maana, (na...
  8. Brojust

    Wanasaikolojia najua elimu yenu ni kubwa sana ila punguzeni kusema Hallucinations ni mawenge kwa kiswahili

    Bakita ndugu zangu jamiiforum ni jukwaa huru, so natoa maoni yangu. So kama itawezekana naomba myajibu kitaalamu kwa kutoa kufanya research ya neno sahihi mbadala wa Hallucinations kwa kiswahili Ingawa swali sijauliza kwa kitaalamu. Unaposema Hallucinations ni mawenge huwezi amini watu wengi...
  9. REJESHO HURU

    Watu wa Dar es Salaam mnapoenda mikoani punguzeni ushamba

    Yes, nasema ushamba kwa sababu gani kukaa Dar es Salaam si kuwa uko mikoani hakuna watu ambao hawaijui hiyo Dar si wazawa ila kutokana na mihangaiko ya maisha wanajua chocho zote za Dar Wanajua uhuni wote wa Dar sasa nyie mkienda uko nakuaanza aaah ona hii siyo kama Dar, mpo kijijini msibani...
  10. kyagata

    Wasukuma punguzeni huu ulaji wa chakula kingi namna hii

    Habari za Jumapili wakubwa. Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji. Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu. Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima. Tumepiga...
  11. Half american

    Watu wa Kanda ya Ziwa punguzeni au acheni utaratibu wa kuchanja chale

    Habari wakuu, Hivi hakuna mbadala wa hizo chale, tumieni hata sindano kama lengo ni kuchanja ili dawa iingie, au kuna lingine tofauti na dawa hadi iwe kwa kuchanja na nyembe na vitu vingine vyenye ncha kali ambavyo vinaacha alama kubwa? Nmekutana na baadhi ya watu kutoka kanda hizo wamejaa...
  12. P

    TCRA toeni adhabu kali kwa baadhi ya redio na TV

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la uanzishaji wa vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini jambo ambalo ni zuri sana. Ila kutokana na jinsi vyombo hivi vingi vya habari haswa redio na TV zinavyofanya kazi zake nyingi hazina tija katika jamii. Redio na TV nyingi zimekuwa ni wakala wa kuharibu jamii...
  13. P

    TCRA toeni adhabu kali kwa baadhi ya redio na televisheni

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la uanzishaji wa vyombo mbali mbali vya habari hapa nchini jambo ambalo ni zuri sana. Ila kutokana na jinsi vyombo hivi vingi vya habari haswa redio na TV zinavyofanya kazi zake nyingi hazina tija katika jamii. Redio na TV nyingi zimekuwa ni wakala wa kuharibu...
  14. RIGHT MARKER

    Madereva taksi punguzeni u-bubu

    Mhadhara - 39: Kazi ya udereva TAXI ni biashara kama biashara nyingine. Ukiwa mfanyabiashara hupaswi kuwa bubu (mkimya) kupita kiasi. Halikadhalika udereva Taxi pia. Leo natoa ushauri kwa madereva TAXI wote hasa waliopo kwenye mikoa yenye vivutio vya utalii kama vile Arusha, Dar, Zanzibar...
  15. Eli Cohen

    Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

  16. Mwizukulu mgikuru

    Vijana nendeni mkafanye interview punguzeni malalamiko...

    Kwa wale waliosoma kozi za afya ..wameita kwenye interview lakini malalamiko yamekuwa mengi hasa kwa wenye shahada za uuguzi Na udaktari ,, shime shime shime, vijana wenzangu twende tukafanye interview ....... hakuna wa kumraumu zaidi ya magufuri..ukweli usemwe..
  17. OKW BOBAN SUNZU

    Wanawake punguzeni vikao wakati wa tendo

    Naelewa huwezi kufanya mapenzi kimya kimya kama unabaka Naelewa ule ni wakati mwingine wa kueleza hisia zake kwa mtu unayempenda. Ni muhimu ku respond juu ya mchakato unaloendelea pale kati. Mimi nazungumzia wale wanaoanzisha kikao, anakuja na ajenda irrelevant. Sasa jiulize nani anachukua...
  18. Unavoidable Servant

    Chanzo cha kifo cha Mandojo ni mke wake, wanawake punguzeni midomo

    Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamua kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai. Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke. Tuishi nao kwa akili.
  19. hydroxo

    Yanga punguzeni sifa

    Mimi ni simba damu na nakubali mlitupiga kono la nyani aka hamsa. Ila sasa mnachokifanya ni sifa zilizopitiliza kuweni na utu na huruma japo kidogo. Ndio nini kutuwekekea kono la nyani kwenye jezi zenu mpya. Daah nilitaka kununua jezi zenu kwani ni kali balaa ila nilivyoona hamsa hamsa na...
  20. W

    Mabosi punguzeni unoko duka linavyostawi mauzo, Binafsi ninajua kijana ananiibia kiasi kidogo lakini nimepiga kimya, nikimtoa ni ngumu kupata mbadala

    Kuna vijana unawaweka dukani unaona kabisa uwepo wao ndio unachangamsha biashara kuanzia kutafuta wateja, ku negotiate, kutangaza biashara, kazoeleka na wateja, n.k. yaani wewe kila ukienda kufunga hesabu unakuta daftari la mauzo linameremeta. Sasa kijana kaiba lets say elf 5 au 10 kwenye kila...
Back
Top Bottom