Pweza wanaouzwa mtaani mara nyingi huandaliwa kwa njia za kiasili, ambazo ni rahisi na zinazojulikana katika maeneo mengi ya pwani ya Afrika Mashariki, hasa Tanzania. Kwa kawaida, hawa pweza wanapikwa kwa mbinu tofauti kidogo kuliko zile za kigeni, lakini bado ladha yao ni nzuri sana. Hapa kuna...
Kwanini wahusika wa miondo mbinu nyingi ya mwendokasi imewaacha mama ntilie na wauza chips wanaofanya kazi pembezoni ama karibu na miundombinu hii wamwage maji machafu na mataka taka kwenye mitaro ya hizi bara bara hali inayopelekea kujaa na muda mwingine kutoa harufu mbaya sana.
Bwana afya wa...
Anonymous
Thread
afya
chips
maelekezo
mama ntilie
mbinu
mwendokasi
pweza
Pweza ni biashara yenye faida hebu Ona huyo pweza nimemnunua 5000 ukimkata vipande vidogo vinatoka vipande zaidi ya 20 unapata 10000 pweza mmoja tu ukimtengenezea utratibu wa mpango wa mradi wenye maendeleo.
Mtu mmoja akanishangaa kwamba Kwa mchanganyiko huo wa ndizi mbivu na supu ya nyama ama ya pweza kwamba natafuta kitu gani tumboni yeye anachojua Kwamba ndizi ni tamu zina sukari huku supu inahitaji chumvi so haifai kuchanganya sukari na chumvi sijui sayansi yake ya wapi mbona me sijaliona tatizo...
Za jioni wakuu, supu ya pweza ni maarufu sana Dar es salaam mida ya jioni ambapo tunaona watu wanauza supu kwenye vimeza vyao.
Sasa kitu kinachofanya nije leo ni ulevi wa supu ya pweza aisee nimejitahidi kuacha nimeshindwa yaani kila nikitoka kazini njia ya kwenda nyumbani kuna kibanda...
Asalaam aleykum,
Hapo Posta panagadeni nzuri mno mno ambayo ikipangiliwa vizuri inaweza kugeuka sehemu nzuri ya kustaftahi, kula ngisi, urojo juice, soda na katu pombe zisiwepo kamwe!....
Itapendeza mno hasa baada ya ubunifu mahususi kufanyika.
nikiwa kiraia zaidi, nimejumuika na wananzengo vijiwe vya kahawa, kashata, kachori na pweza. Stori na hadithi nyingi zimetekwa na jina la Rais, Dr Samia Suluhu Hassan.
Kwamba huyu mama ni hodari, anajali sana, ana bidii mno ya kazi, anaskiza sana maoni ya wananchi, ni mahiri na makini sana...
Changamoto ya wanaume kuhangaikia nguvu za kiume imekuwa kubwa. Baadhi huamini kuwa supu ya pweza ni jawabu tosha, jambo lililomfanya samaki huyu ajipatie umaarufu mkubwa katika kunusuru ndoa na urafiki wa kimapenzi wa vijana wengi.
Kuna ukweli wowote kuwa supu ya pweza husaidia kuongeza...
Soon tutaanza kuona masela wanawinda mende vyooni badala ya mkongo.
Hili pia ni fundisho la kutokuendekeza kula kula ovyo kwa michepuko. Kutoka mende mpaka kuwekewa kinyesi kabisa ni hatua chache tu. Kidume unajiona unapendwa kwa kukarangiziwa kumbe unalishwa makimba.
Mbaya zaidi kuna maslay...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa changamoto inayowapata vijana wanapotaka kuongeza jamii inatonakana na uwepo wa lishe duni.
Ametolea mfano wa matumizi makubwa ya vumbi la mkongo na supu ya pweza kwa vijana wa kiume, pamoja na matumizi makubwa ya chips...
Samaki pweza ni samaki anayeishi baharini
Pweza ana mioyo 3 (3 heart) Moyo moja husukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili.Mioyo 2 husukuma damu kupitia matamvua yake(gills)
Pweza ana damu rangi ya bluu kwasababu ana “copper-based protein”
Pweza ni miongoni mwa-samaki mwenye akili Zaidi...
Nimesikia Serikali kwenye bajeti kuwa kodi imeondolewa/punguzwa kwenye kununua malori yenye friji ndani. Hii ni habari nzuri kwa upatikanaji wa fresh foods. Mtufanyie wepesi basi tupate dagaa mchele na pweza na sisi huku mikoani. Nasi tutafanya mpango mpate ulanzi, sungura, matunda na mnafu fresh.
Leo muda wa jioni nilikuwa maeneo ya Mbezi ya Kimara nilikuwa nimesimama namsubiri rafiki yangu pembeni kwa mbele kulikuwa na mtu anauza supu ya pweza na vipande vyake na ngisi na kachori.Nikiwa pale walikuja watu kadhaa kununua nilichokiona.
Mteja alikuwa anachukua kijiti cha kuchomea anatoboa...
Salaam wakuu,
Mimi ni kijana mpambanaji na mhitimu wa chuo nipo mjini Dar es salaam, katika kupambana na maisha na ukosefu wa ajira nimejitahidi kufanya biashara mbalimbali ambazo zimeweza kunifikisha hapa nilipo.
Nimefanya sana biashara ya nafaka mbalimbali na kuku kutoa mikoani kuleta huku...
Mchanganuo wa biashara ya supu ya pweza
Pweza ni mazao ya bahari ya Hindi. Samaki wa aina tofauti, pweza, ngisi, dagaa kamba na kadhalika ni baadhi ya vinavyopendwa na wakazi wengi.
Biashara hii ni rahisi kuifanya kwani haihitaji mtaji mkubwa wala ofisi na pia hivyo vyakula huuzwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.