pyramids

  1. P h a r a o h

    Je Pyramids zilikua na kazi gani ?

    the great pyramid of Giza tutumie great pyramid ( Piramidi kuu ) hii pyramidi imejengwa zaidi ya miaka 4700 iliyopita lakini inaacha maswali mengi zaidi kuliko majibu, maana kila unapojaribu kupata jibu unakutana na maswali zaidi kuhusiana na jibu lako, inavyoaminika hadi sasa ni kwamba...
  2. Dalton elijah

    Pyramids wanaendelea kuongoza ligi kuu Misri mbele ya Al Ahly

    Zamalek amekula chuma tatu kama amesimama na bao la kwanza ameweka Mayele mtu mbadi. Pyramids wanaendelea kuongoza Ligi Kuu Misri mbele ya Al Ahly. Kama nilivyosema mkisikia Pyramids wamechukua ubingwa msimu huu msishangae jamaa wanapiga Mpira Sana.
  3. Mtu Asiyejulikana

    Hapa nachanganyikiwa. Walikuwa weusi, weupe au Aliens waliojenga hizi Pyramids?

    Tumekuwa tukisema walijenga waafrika weusi zile pyramids. Na tunasema zamani waafrika walikuwa wana akili sana (wazungu wakaiba akili bila shaka) tukabaki mabumunda tu. Au sivyo? Sawa weusi ndo walijenga na kutawala Egypt na Waafrika ndo walikuwa na ustaarabu mkubwa miaka hiyo. Swali. Baada...
  4. KENZY

    Ni kweli uwepo wa Pyramids bado ni kitendawili hapa duniani ama kuna siri imefichwa?

    Kila nikifatilia historia juu ya majengo makubwa na yenye stori lukuki pale Egypt, yani pyramids napata mashaka ya nini kinachoendelea. Hususani kumekuwa na stori tofauti tofauti lakini bado hazijategua kitendawili!, vilevile uwepo wake hapa Africa na nikiambiwa kuwa waafrika ndio waasisi wa...
  5. kavulata

    Azam walijivunja, APR ni aibu kwa Pyramids ingekuwa fedheha

    Heri nusu shari kuliko shari kamili. Ni hesabu tu za MAGAZIJUTO (BDMAS) na mlinganyo (algebra); Kama kwa APR ni hivi kwa Pyramids na Mayele itakuwaje?. Ukishalipata jibu lake unafuata ujivunjaji ili kukiepuka kikombe na kuganga yajayo.
  6. BabuKijiko

    Full Time: JKU 0-6 Pyramids | CAF Champions |Preliminary Stage 1st Leg | 18.08.2024

    Full Time: JKU 0-6 Pyramids | CAF Champions |Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 18.08.2024 8' 0 - 1 Mayele F. 14' 0 - 2 El Karti W. 26' 0 - 3 Mohanad Lasheen 32' 0 - 4 Adel I. 2nd Half ' 0 - 5 Mohanad Lasheen 88' 0 - 6 Zalaka M.
Back
Top Bottom