Sultan Qaboos bin Said alizaliwa November 18, 1940 Muscat, Oman. Elimu yake aliipatia nchini Uingereza.
Baba yake mzazi ni Sultan Said ibn Taymur aliyezaliwa February 1910 Muscat Oman. Mwaka 1965 baba yake Sultan Said ibn Taymur, alimwita nyumbani kijana Qaboos arejee toka Uingereza na kumweka...