qaswida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwimbaji Qaswida aandaa tamasha Morogoro kusaidia Yatima

    Mwimbaji Qaswida maarufu hapa nchini, Abdulhamid Fannan ameandaa tamasha la kusaidia Yatima na wengine wenye uhitaji litakalofanyika Oktoba 5 mkoani Morogoro. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Fannan alisema katika tamasha hilo atawashirikisha waimbaji mashuhuri kutoka nje ya Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…