Wakati shamrashamra za maandalizi ya Siku ya Wanawake Duniani zikipamba moto, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amewashukia 'watoto wa 2000' akidai kwamba wengi wao hawajishughulishi na kazi zozote wawapo makwao.
Wakuu
Hivi CCM hamnaga mfumo wa vetting kudhibiti nani ataongelea chama chenu?
Hizi kauli mnataka wanaume wazichukuliaje? Na huyu anayejiita Queen ni nani ndani ya chama chenu mpaka awatolee matamko?
======================================
Kupata taarifa na matukio kuelekea uchaguzi mkuu 2025...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga akizungumza na uongozi wa Gereza la Wilaya ya Babati mara baada ya kufanya ukaguzi wa utekelezaji wa utumiaji wa Nishati safi ya kupikia gerezani hapo.
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza Solomoni Mwambingu na Mkuu wa Jeshi la Magereza...
Na Cathbert Kajuna - Kajunason Blog/Michuzi TV, Manyara.
Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga (kwanza kushoto) leo Januari 29, 2025 amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Bw. Michael John Semindu aliyeteuliwa na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
Wakati yamebaki masaa kabla ya kukoma kwa zoezi la uandikishaji wapiga kura katika daftari la makazi kufikia ukomo leo Oktoba 20, Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga tarehe 19.10.2024 alitembelea jamii ya Wahadzabe katika kijiji cha MONGO-WA-MONO wilayani Mbulu ambao maisha yao bado...
RC QUEEN SENDIGA - UPATIKANAJI MAJI MANYARA MJINI 84% NA VIJIJINI 71%
"Manyara kuna hali ya hewa nzuri ambayo unaweza kulima mazao yote na Manyara ina sifa ya uwekezaji kwenye sekta zote ambazo umewahi kuzisikia. Kuna mazao ambayo hayastawi popote Tanzania isipokuwa Manyara kama ngano, shayiri...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara (RC), Queen Sendiga amewakaribisha rasmi wanafunzi 110 wanaoanza kidato cha tano katika Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Manyara iliyopo mjini Babati.
Katika ukaribisho huo DC Sendiga amevaa sare za shule kama wavaavyo wanafunzi hao kwa lengo la kuwapa morali ya...
Agosti 5, 2024 kumefanyika makabidhiano ya mradi wa ujenzi wa nyumba 74 za waathirika wa maporomoko ya matope zilizopo katika eneo la Warret Wilayani Hanang kati ya Suma JKT na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara
Ujenzi umekamilika kwa asilimia mia moja (100%) ambao ulianza machi 18 2024 chini ya...
Mkuu wa Mkoa Manyara, Mhe. Queen Sendiga amewataka Wakala wa Maji na USAFI wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kuhakikisha wananchi Mkoani humo wanapata huduma Bora ya maji safi na Salama muda wote.
Ameyasema hayo katika kikao cha watumishi wa RUWASA Mkoani humo kolicholenga kuwajengea uwezo...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ni mwanamke yuko kitofauti kidogo.
Siwezi kusema ni mwanamke ambaye hajipendi lakini haiba yake hadharani inabidi iboreke.
Kama mwanamke lazima apendeze, avutie, na hiyo ndio raha ya kumtazama hata kwenye runinga.
Mama Samia tukimtazama kwenye runinga...
Katika Utawala bora ni pamoja na proper and official communication skills.
Kiongozi kuhamaki hadharani ni dalili ya weakness, hatutakiwi kuwa emotional.
Ni kweli wakati mwingine subordinates wako wanaweza kukuongopea kwa maslahi binafsi, lakini kiongozi aliyewiva bado atakuwa cool and...
Mkuu wa mkoa wa Iringa, Queen Sendiga amesitisha kwa muda shughuli zote zisizo za lazima zinazohusisha mikusanyiko pamoja na makongamano yasiyo ya lazima, ikiwa ni moja ya jtihada za mkoa huo katika kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona.
Sendiga amesema wamefikia uamuzi huo baada ya kuona...
"Kuna taarifa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa kuna kijana Vitus Nkuna nimemwita ofisini kwangu leo, kutwa nzima nimekuwa nje ya ofisi kwa kikao cha tathimini ya lishe katika ukumbi wa siasa ni kilimo simjui kijana huyo ni taarifa za upotoshaji"- RC Iringa, Sendiga.
Zaidi, soma:
-...
Ukikubali cheo cha bure lazima ukubali na masharti ya mtoa cheo , Mtaka cha uvunguni sharti ainame
Ifahamike kwamba hapa duniani hakuna kitu cha bure , nipe nikupe , haiwezekani Magonjwa Mtambuka aliyepigania ccm kufa na kupona atelekezwe halafu upewe wewe ukuu wa mkoa bila masharti yoyote ...
Queen katika siasa alikuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM mpaka mwaka 2014 alipoamua kuhama na kujiunga na chama cha Alliance for Democratic Change (ADC). Mwaka 2015 kwenye uchaguzi mkuu Tanzania aliwania nafasi ya ubunge jimbo la Kawe kupitika chama cha ADC ila hakufanikiwa kushinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.