qur'an

  1. M

    Kwanini viongozi wa chadema hawajudhurii mashindano ya Qur'an?

    Kutwa naona makanisani. Sijawahi kuwaona wakishiriki uwanja wa taifa ktk mashindano au sherehe za waislam. Sio lissu, sio Heche tofauti na ccm, act na chauma
  2. Crocodiletooth

    Trump unveil exploit done by mobile company! Out of the will.

    Tell Kenyan company!
  3. M

    VIDEO: Dunia ilivyoumbwa

    Sikiliza vizuri msomi
  4. M

    Wakubwa wanaosimamia chaguzi wajue waliapa kwa Qur'an na Biblia- Mwenyezi Mungu hataniwi

    Umezuka mchezo nchini wa watawala kutoheshimu haki za raia, kutoheshimu viapo vyao. Na hii yote ni kwa sababu ya Kibri cha madaraka. Kibri cha kujiona "wakubwa" na kwamba ni untouchable. Kwa kiburi hicho, hawa wenye dhamana huvunja viapo vyao walivyoapa kwa kushika Qur'an na Biblia halafu...
  5. BAKIIF Islamic

    Surat Maryam ndio Sura pekee katika Qur'an iliyopewa jina la Mwanamke, zijue sababu

    Hiii ndio Sura (ufunuo) pekee katika Qur'an iliyopewa jina la mwanamke maalumu anayejulikana, ingawa ndani ya sura hii kumetajwa manabii wakubwa wakubwa kama vile Nabii Yahya, Zakaria, Ibrahim, Is-haq, Yaquub, Idriss, Ismail, n.k. Wote wametajwa ndani ya sura hii. Kisa cha Bi Maryam katika...
  6. KatetiMQ

    Historia ya Qur'an

    HISTORIA YA QUR'AN. SEHEMU YA KWANZA 01. Asalaam Alaykum Warahmatullah Wabaarakatuh, Kila Sifa njema anastahiri Mwenyezi Mungu Mola mlezi wa Walimwengu wote, na Sifa njema zimuendee Kipenzi chetu Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم na Radhi za Allah ziwashukie Maswahaba zake na wema...
  7. Webabu

    Mdada shujaa ampulizia mchomaji Qur'an mtungi wa gesi

    Mwanamke mmoja mjini Stockholm nchini Sweden amevuruga shughuli batili ya kuichoma Quran iliyokuwa ikifanyika mjini humo. Kitendo hicho kilikuwa kikifanywa na Salwan Momika mkimbizi kutoka Iraq ambaye amekuwa akipewa vibali vya kuchoma Qur'an kama anavyopenda. Momika anasema anataka azuie watu...
  8. EINSTEIN112

    Hasira baada ya Quran kuchomwa nje ya msikiti Sweden

    Salwan Momika, anayesemekana kuwa mzaliwa wa Iraq anayeishi Sweden, alichoma moto nakala Quran mbele ya msikiti mkuu wa Stockholm siku ya Jumatano. Mataifa ya Mashariki ya Kati yakiwemo Iraq, Iran, Saudi Arabia na Misri yamekosoa vikali uchomaji huo. Na Uturuki, imesema kuwa ni "kitendo cha...
  9. Hemedy Jr Junior

    Qur'an ni kitabu chenye maajabu wanasayansi wanathibitisha

    Qur'an Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha? Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa, kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an.
  10. Etugrul Bey

    Je, Waislamu tunaitendea haki Qur'an?

    Hakika Mtume Muhammad (rehma na Amani ziwe juu yake) ametuachia vitu viwili ambavyo ndio Muongozo wetu Sisi Waislamu ambavyo ni Qur'an na Sunna, ndio vituongoze siku zote katika Maisha yetu. Lakini Kwa Masikitiko makubwa kabisa hakika tumeitupa Qur'an ambao ndio msingi mama WA kuwaongoza...
  11. BAKIIF Islamic

    Kifo kinatisha sana na ni chenye maumivu makali yasiyoweza kuelezeka. Uhai ni wa thamani pindi tu ukiukosa

    Utakapokufa katu hutoweza kurudi tena duniani. Ukweli ni kwamba watu wengi wanaogopa kufa, ijapokuwa wapo ambao inafikia hatua hawaogopi kifo kabisa, lakini pia inaweza kufikia hatua kwa baadhi ya watu mpaka wakakiomba kifo. Hii huwenda ni kutokana na shida na taabu walizo nazo. Lakini katika...
  12. N

    Wazo langu kuhusu mabishano yasiyoisha ya Qur'an na Biblia

    Vita vya kubishania uhalali na uimara wa mistari ya kwenye hivi vitabu viwili vitakatifu imekuwa isiyo na mwisho, nimeikuta nilipozaliwa 80's na mpaka leo inaendelea. Siku za hivi karibuni na humu jf nayo imekumbwa na wimbi hilo! Katika mabishano hayo, nimegundua hayaishi leo, hayaishi kesho...
  13. BAKIIF Islamic

    Hawa ndio Warembo waliouawa kwa kutembea uchi huko Iran

    Biblia na Qur'an ziko pamoja na nchi ya Iran, unaweza usitamani kutembea uchi lakini ukawatetea wanaotembea uchi. Kufurahia mwanamke kutembea uchi elewa umefurahia mama wa mtu kuwa uchi. Naanza kwa kumnukuu mwana JF Donatila aliwahi kuandika humu ''Kama mjuavyo utandawazi umezidi kukua...
  14. K

    Kipi kitabu cha Mungu kwa wakati wetu huu kati ya Bibilia na Qur'an?

    Habari Wana jamii, nimeona mada nyingi zinazo husiana na iman zikileta changamoto na kuto kubalina katika njia zote mbili. Sasa naomba tutoe hoja Kila mmoja hapa kwanini tuseme BIBILIA ni KITABU CHA MUNGU na kinaongoza watu kwenda mbinguni na pia Qur' an ni KITABU chuamungu na kinaongoza watu...
Back
Top Bottom