quran kwenye simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Legacy

    Kama una Biblia au Quran kwenye simu afu umehifadhi picha za utupu unakosea sana

    Hii nimeona niizungumze kwa kiasi. Utakuta mtu anahifadhi application ya Biblia au kitabu takatifu chochote kulingana na imani yake lakini amehifadhi pia picha za utupu au mambo yasiyofaaa. Hii ni sehemu ya laana kwako, jaribu kuepuka haya. Ni nayo tu wandugu.
Back
Top Bottom