quran kwenye simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama una Biblia au Quran kwenye simu afu umehifadhi picha za utupu unakosea sana

    Hii nimeona niizungumze kwa kiasi. Utakuta mtu anahifadhi application ya Biblia au kitabu takatifu chochote kulingana na imani yake lakini amehifadhi pia picha za utupu au mambo yasiyofaaa. Hii ni sehemu ya laana kwako, jaribu kuepuka haya. Ni nayo tu wandugu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…