Mke wa Rais wa Kenya amewataka wakulima nchini humo kuandaa mashamba kwa ajili ya kilimo baada ya maombi ya kitaifa ya kuombea mvua katika taifa hilo lililokumbwa na ukame.
Hata hivyo mamlaka ya hali ya hewa nchini Kenya imetabiri kuendelea kwa hali ya ukame nchini humo katika siku zijazo...