Ameandika Lema katika mtandao wa X:
"Jana wakati nakemea kauli yako katika mkutano wa hadhara Murriet Arusha dhidi ya kauli yako na mipango yenu ya KIPUMBAVU juu ya wizi na uporaji wa kura katika chaguzi zinazokuja, nilijikuta natoa mfano mkali ambao umemgusa bila shaka Shemeji yangu mpendwa...