radi na nguo nyekundu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    Donansia Nkwai: Hakuna uhusiano wowote kati ya Radi na Nguo zenye rangi nyekundu

    Akiongea kwenye kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM, leo January 25, 2023, Koplo Donansia Nkwai kutoka Jeshi la Zima Moto na Uokoaji (Iringa) amesema hakuna uhusiano wowote uliopo kati ya radi na nguo nyekundu. Aidha, ikiwa utakuwa kwenye eneo la wazi wakati radi inapiga, unashauriwa...
Back
Top Bottom