Kila mwaka Februari 13 ni maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani. Siku hii huadhimisha umuhimu wa redio katika kuhabarisha jamii, kukuza uhuru wa kujieleza, na kuwa msaada muhimu wakati wa majanga na matatizo.
Lengo la Siku ya Redio Duniani ni kuhamasisha watu kuhusu umuhimu wa redio. Ingawa leo...