Radio stations in African countries can be categorized into three main areas: public, commercial, and community. The management of these radio stations is subject to each region's preferred methods.
Wakuu habari.
Niko nasikilizia hapa radio Free!. Kuna kipindi Cha mganga anajinadi kuwa kama una tatizo lolote yeye atakusaidia kulitatua kwa kupiga namba ya sim Aliyoitoa.
Anasema kama unashida na Hela, cheo yeye anaweza kukusaidia.
Najiuliza hapa nikienda kwa huyo mganga na nisifanikiwe...
Wakuu nimekaa nikakumbuka miaka hiyo kipindi cha SITOSAHAU cha RFA. Ilikuwa ikifika hiyo mida ni kukaa karibu na redio mfano wakati wa simulizi ya Gamboshi 😂 asee?
Wahenga kipindi kipi mnakumbuka? Au ulikuwa ukikipenda?
Hawa jamaa mapengo yao hayajazibwa mpaka Leo
Fedwaa
Mohammed Baraghaza
Rebecca Mulesi
Fedwaa alitisha Sana - katika kuandaa sindano tano za moto
Mohammed Baraghaza alitisha katika , jee huu ni uungwana la hasha huu si uungwana .
Rebecca Mulesi -katika ushauri wako.
Habari za muda huu ndugu wana JamiiForums,
Naomba kuuliza hivi huyu mzee anaejiita babu, ambae anarusha matangazo yake ya uganga wa kienyeji kupitia kituo Cha Radio Free Africa, Mwanza ana tofauti gani na yule aliyefungiwa kule Buza, anayejiita kiboko ya wachawi.
Nimejaribu kusikiliza kwa...
Radio free Africa naona sasa imeshapoteza credibility yake kitambo.
Sasa hivi imejaa vipindi vya waganga wa kienyeji tu.
Sasa hivi nasikia mtu anajiita chief Magema anajitangaza kuwasaidia watu na kutaja namba zake za simu, kama sio utapeli huu ni nini!!?
Hapa RFA mnaelimisha nini zaidi ya...
Sehemu ya 1.
Naitwa Rojaz na nimezaliwa kwa wazazi ambao baba na mama matamanio yao ni kuona watoto wao tunasoma kwa bidii ili kuweza kufikia malengo yetu na ndoto ambazo wao kama wazazi wanaziota juu yetu,natumaini ni ndoto ya kila mzazi kwa mtoto wake,hakuna mzazi anayesomesha mtoto na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.