Huwa naamini smarphone ni kama bomu tu, hao wazungu wanaweza kutrigger hiyo lithium battery na kukulipua muda wowote kama wanashida na wewe. Hata Hesbullah walijua hilo wakabuni kutumia simu za kizamani Pagers. Ingawa ni za kizamani lakini marekani kuna watu zaidi ya Millioni 2 wanazitumia. Hasa...