Akizungumza kwenye kipindi cha asubuhi katibu wa waagizaji wa mafuta anasema hao wanaosema mafuta yamefichwa hawasemi ukweli.
Anasema waliishauri serikali tangu January kwamba iongeze dollar ili kuongeza kiwango cha mafuta kinachoagizwa kutokana na kupanda kwa thamani ya Dola dhidi ya shilingi...