rafiki wa kiume wa mke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    unadeal vipi na rafiki wa kiume wa mke wako, wale wanaopenda kuwa karibu na mke utadhani chawa mpaka kupiga umbeya

    Ni zile type unaziona zipo na mke wako kama marafiki tangu unavyomjua na hata ukichunguza utaambiwa ni mabesti wa long time kitambo sana. Na mara nyingi hali zao za kiuchumi zinakuwaga za kawaida maana hawana kazi maalum, Mke akiumwa ratiba zote za kusalimia wagonjwa asubuhi, mchana na usiku...
Back
Top Bottom