Ni zile type unaziona zipo na mke wako kama marafiki tangu unavyomjua na hata ukichunguza utaambiwa ni mabesti wa long time kitambo sana.
Na mara nyingi hali zao za kiuchumi zinakuwaga za kawaida maana hawana kazi maalum,
Mke akiumwa ratiba zote za kusalimia wagonjwa asubuhi, mchana na usiku...