Ningependa kufahamu, je mahusiano ya rafiki wa mpenzi wako ni jinsi gani yanayoweza athiri mapenzi yako?
Maana imekuwa ni changamoto sana, asilimia kubwa ya maisha ya mpenzi wangu yuko na rafiki yake kila sehemu. Sasa mapenzi ya rafiki yake ni yako moto hata mimi naona kbsa kweli yameiva, jamaa...