Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho kuheshimu viongozi waliopo madarakani hadi muda wao utakapokamilika rasmi kwa mujibu wa kalenda ya chama.
Ameyasema hayo hii leo February 28, 2025 alipozungumza na waandishi wa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kwamba mwaka 2019 wagombea wao wengi walikatwa akiwemo mgombea wao mwenye degree 2 aliyeambiwa hajui kusoma na kuandika lakini mgombea wa CCM, mwenye elimu ya darasa la 7 akapitishwa.
Wakuu
Aliyewahi kupendekeza Hayati Magufuli aongoza nchi zaidi ya awamu 2 amerudi tena na mapendekezo ya Rais Samia kuongoza nchi kwa miaka 14 akidai miaka hii 4 ilikuwa ya Magufuli.
==
Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020) amependeeza Rais Samia...
Wakuu
Mnakumbuka sakata la CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee?
Mapya yaibuka huko, panga limepita kwenye Chama
==
Katika Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani, kumekuwa na sintofahamu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo baadhi ya viongozi wa matawi na kata wamedai kusimamishwa...
Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais yako sahihi.
Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili...
Wakuu,
Wakati tunaeleka kwenye Uchaguzi Mkuu ambao tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais mengi hutokea kabla ya kuwapata viongozi hao.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
Wakuu,
Kumbe suala la kuweka alama lilikuwa kweli bwana.
Mwenyekiti wa Uchaguzi CHADEMA Frank Mwakajoka amesema amepokea kikaratasi chenye ujumbe kilichokuwa na mapendekezo ili kunyoosha zoezi la uchaguzi liende vizuri.
Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu...
Chama cha ACT Wazalendo Jimbo la Kigoma Mjini kimeamua kufungua kesi mahakamani kwenda kuwashtaki Wasimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa, Wasimamizi Wasaidizi pamoja na walioshinda na kuapishwa katika nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika Novemba 27...
Watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza kwa matukio matatu tofauti likiwemo la vijana wawili ambao ni makada wa CHADEMA kukamatwa wakiwa na karatasi 181 za kupigia kura.
Kamanda wa Polisi Kamishina Msaidizi wa polisi DCP Wilbroad Mutafungwa, amesema majira ya saa moja na nusu...
TAARIFA KWA UMMA
Tumeendelea kupokea matukio hujuma kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Utekaji, ukamataji kinyume cha sheria, kura feki, na kusumbuliwa kwa mawakala.
===
TAARIFA KWA UMMA
Kwa sasa zoezi la upigaji kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na...
Haya ni baadhi ya malalamiko yaliyoibuka katika uchaguzi wa serikali za mitaa na majibu ya wasimamizi katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha na Geita leo Jumatano Novemba 27, 2024.
Soma Pia: Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wakuu salam,
Nimeanizisha uzi huu maalum kwaajili ya kuweka link ya post zote zinazoongelea rafu na kasoro kabla na mpaka siku ya uchaguzi wenyewe wa serikali za mitaa, iwe rahisi kupata kasoro hizi kwa pamoja kila mtu atakapozihitaji.
Nitakuwa na-update kadri yatakavyokuwa yanawekwa JF...
Wanazingua hawa, hii ilitokea jana na kuripotiwa kupitia ukurasa wa Boniface Jacob (Boniyai).
---
Ustaarabu siyo tabia ya CCM
Hawa ni Watoto wa shule Wamekutwa wanaandikishwa katika daftari kinyume cha sheria, kituo cha EMET mtaa wa Luguruni, kata ya Kwembe Jimbo la Kibamba leo tarehe...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu amesema Chadema ilistahili kupata Wabunge wa Viti Maalum 18 kulingana na formula ya Uteuzi ila tunashangaa Tume imepeleka bungeni Wabunge 19
Aidha CCM walipaswa kuwa na Wabunge 84 lakini wako 94, yaani nchi hii usanii ni kila mahali,.amelalamika Lisu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.