rahisi gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kalaga Baho Nongwa

    Nimekoma walahi! Pilau la buku nimelinunua kwa 32,000 za dripu mbili

    Hali hii leo mbona kazi ipo! Katika pitapita zangu maeneo flani flani hiv nikasikia sauti kutoka katika kipaza ikinadisha "pilau buku, pilau nyama buku... njoo ujipatie". Nikaona yesss, dunia ni yetu sote. Nikajikoki pale ndizi ya mia mbili na juisi ya muwa. Nikaketi taratiibu nijipimie...
Back
Top Bottom