Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa wawili kuhusiana na taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kunusurika kuuawa, kutekwa na kupigwa nyundo kichwani kwa raia mmoja wa kigeni aitwaye Suzan Mary Shawe (75) raia wa Afrika Kusini.
Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa...
Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria.
Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini...
Timu maalumu ya kupambana na makosa ya mtandao kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha pamoja na Mamlaka ya Mawasiliano TCRA wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 20 wakiwemo raia 04 wa Nchi jirani kwa makosa ya kuingilia mifumo ya mawasiliano.
Akitoa taarifa hiyo leo Oktoba 29, 2024...
Tanzania tumewazoea ni Watu wa Amani pamoja na Upendo na hata Sisi wengine tunajifunza Kwenu kuwa na Amani na huo Upendo.
Kwanini sasa Taifa lenu kuna matukio mabaya ambayo tulizoea kuyaona na kuyasikia huku Kwetu?
Majibu yenu ni Muhimu sana ili niwajibu na waache Kunisumbua kwa Maswali yao...
Nimekutana na hii taarifa ya Mfanyabiashara na Mwekezaji Max Maxwell ambaye ni raia wa nchi lakini kilichonishangaza zaidi ni kusema amenunua ardhi nchini Tanzania kwaajili ya kufanya uwekezaji. Max ameandika;
"Leo ni ndoto ya kutimia ambayo ilianza mwaka wa 2010 na maono kwenye bodi yangu...
Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia.
Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu..
Mnamo tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku katika Kata ya Iyela Wilaya ya Mbeya Mjini inasadikika Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia anayeitwa Vasil Dosev Dimitrov, alimchukua kwa nguvu mfanyakazi wake wa kike jina linahifadhiwa na kwenda kumfanyia ukatili wa Kijinsia na...
Wachina, Wakongo, wake ya, wanigeria na wazambia wamekuwa wengi sana soko la Kariakoo.
Wachina wanapoingia kwenye umachinga maana yake uchuuzi umekuwa kipaombele cha soko Tanzania. Lakini uchuuzi huu unawaondoa watanzania sokoni kwa sababu wachina wanakopeshwa bidhaa kutoka viwandani huku...
Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.
Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika.
Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo...
Kwanza nianze kwa kuipongeza serikali ya Zanzibar kwa kutuzuia Watanganyika kuendesha vyombo vya moto kwao bila kibali maalumu, yaani leseni ya udereva pekee haitoshi mpaka uwe na kibali chao.
Huu ni utaratibu mzuri, Serikali ya Tanganyika iige mfano huu na raia wote wa kigeni toka Zanzibar...
Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel
Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia...
Hofu ya ghasia na mauaji ya chuki dhidi ya wageni imerejea Johannesburg ambapo Jumamosi iliyoisha nyakati za asubuhi takriban wageni saba walichomwa moto wakiwa hai katika kitongoji cha Diepsloot nje ya mji wa Johannesburg.
Hii ilifuatia msako mkubwa wa wanajamii kutafuta waharifu Ijumaa usiku...
Jeshi la Uhamiaji Tanzania tunawashukuru kwa kazi nzuri, tunaomba msaada huku Bukoba Mjini, kuna jamaa mmoja raia wa Uganda anaishi Mtaa wa Kagondo, aliua mtu kwa kumchoma na moto, jamaa huyo ni Mwalimu wa chekechea anaitwa Karangwa Pascal.
Alikamatwa yuko Polisi Bukoba sasa hivi ni wiki mbili...
Idadi ya Nchi zinazowahamisha raia wake kutoka Sudan inazidi kuongezeka kutokana na mapigano yanayoendelea kuwania madaraka katika Jiji la Khartoum.
Baadhi ya mataifa yanayoondoa raia wake ni Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Hispania, Argentina, Colombia, Ireland, Portugal...
Rais Mwinyi amekuwa akipigiwa kelele sana kwamba ananyang'anya wananchi ardhi anawapa wageni kwa kisingizio Cha kukodisha. Baadhi wanasema, anachukua ardhi hiyo yeye mwenyewe kwa mlango wa wawekezaji.
Anahamisha mashule, maeneo ya shule anawapa wawekezaji, anakodisha visiwa kwa bei ya kutupa...
Unakumbuka ile kesi ambayo Mahakama Kuu ya Tanzania iliamua kwamba Raia wa Kigeni wanaweza kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi (where High Court ruled that non-citizen heirs could own land by way of inheritance)?
Uamuzi ambao ulitolewa na Mahakama Kuu mwaka 2011. Lakini serikali...
Mnaofahamu tusaidieni utaratibu wa kupata kitambulisho cha NIDA na Pasipoti incase hata wageni wanaruhusiwa kupata.
Kuna wageni wanafanya biashara na kuajiriwa hapa nchini awali walikuwa na Pasipoti za Kigeni lakini siku hizi Wana Pasipoti za Tanzania kwenye makampuni Yale Yale na TRA taarifa...
Kama tunataka kupambana na machinga tujifunze kupambana na ulanguzi wa bidhaa unaofanywa na wananchi kwa KUSHIRIKIANA na raia wa Kigeni. Serikali inaona machinga wa Kariakoo na maeneo mengine wanakosea kupanga bidhaa barabarani lakini hakuna anayethubutu kukemea kundi la raia wa kigeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.