Jeshi la Polisi nchini limewahakikishia raia wa kigeni wakiwemo watalii, kuwa nchi ipo salama dhidi ya vitendo vya kigaidi; na linaendelea kuimarisha ulinzi katika maeneo yote ya nchi.
Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime. Alisema hayo wakati akizungumzia...