Tambueni kwamba wananchi ndio wenye nchi, kwahiyo wanachokitaka ndio kinachopaswa kuwa kipaumbele, dharau, kiburi, jeuri havijawahi kuacha salama serikali yoyote ile.
Na wala hakuna serikali ilfanikiwa kwa kutegemea vyombo vya dola na watekaji, haijawahi kuwepo, kudharau baadhi ya wastaafu na...