raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. Mamilioni ya Raia wa Yemen waandamana kupinga mashambulizi dhidi ya kundi la kigaidi la Houthi

    Katika mji mkuu unaodhibitiwa na kundi la kigaidi la Houthi unaojulikana kama Sana'a, mamilioni ya raia wa Yemen (Yemenis) wajitokeza kuandamana kupinga mashambulizi dhidi ya kundi la Houthi. Kundi la Houthi limeripotiwa kufanya mashambulizi ya mara kwa mara katika Meli zinazopita katika...
  2. Idadi ya raia walioathirika kwa milipuko yaongezeka kwa 112% mwaka 2023

    2023 umetajwa kuwa Mwaka ulioshuhudia idadi kubwa zaidi ya vifo na majeruhi ya raia kuliko wakati mwingine wote ndani ya kipindi cha miaka 10 iliyopita, hiyo ni kutokana na Utafiti wa Shirika la Kutoa Misaada Kuhusu Vurugu za Kivita (AOAV) la England ambapo Utafiti wake unatumiwa na majukwaa ya...
  3. Netanyahu kwenye mazungumzo ya siri kuwahamishia raia wa Gaza Congo!

    Kuna mazungumzo “ya siri” kati ya Netanyahu na Congo DRC ili kuweza kuwahamishia raia wa Gaza huko pamoja na nchi nyingine za Africa. Kaazi kweli kweli daah! https://www.thedailybeast.com/israel-in-secret-talks-to-resettle-palestinians-in-congo-report-says
  4. DOKEZO Polisi tunaomba msaada. Tunahisi dada yetu ameuawa na mume wake ambaye ni Polisi, inasikitisha sana!

    Kutoka kwenye mtandao wa X, Akaunti ya Lisa Ildephonce (@LIldephoce) “Tarehe 23/1/2023 Tulipata msiba wa dada angu alifariki katika mazingira ya kutatanisha aliolewa na kijana anaitwa Josephat Aron ambaye ni Police pale Ufundi (Kilwa Road) cheo Kopro Kifo chake kilitupa mashaka kutokana na...
  5. Je, baada ya Muuaji Rasta Kato Kukamatwa Songea je, JWTZ litawaomba Radhi wale Raia 75 iliyowakamata Kawe na Kuwapiga vibaya?

    Katika huu Uzi Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu Wajuvi wa Masuala Mtambuka Tanzania.
  6. Mahakama yawaachia huru Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Raia Mwema na wenzake wawili

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam imeifuta Kesi Namba 407 ya 2022 ya Kimtandao katika Kundi la WhatsApp iliyokuwa ikimkabili Mwandishi wa Habari za Afya na Uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo. Uamuzi huo wa...
  7. Wanaume wengi hawatumii logic, wanatumia hisia

    Tuna kizaz cha wanaume wanaopenda kutumia hisia sana instead ya kutumia logics and facts. Unakuta Mwanaume 30+yrs Bado ana stress za mapenzi yupo single hisia zote ziko kwa Wadada mwenye makalio makubwa mwanamke akimkataa tu anakua full stressed blaza tumia logic. Mwanaume anacare sana...
  8. Maelezo kwa ufupi juu ya clip ikionyesha wanajeshi katili wakiua raia

    Hii clip nimeiona kutoka kwenye uzi alioanzisha mdau anaitwa GoldDhahabu wenye kichwa cha habari Hawa wanajeshi katili ni wa wapi? . https://streamable.com/ly7v6f Kuna maelezo mengi tofauti na sehemu kubwa si sahihi. Tukio linaonyesha raia ambao wamefungwa mikono na kuzibwa macho wakikokotwa...
  9. Mtazamo wangu juu ya suala la Tanzania kujiandaa kuwafanya watu wake kuwa raia wa Dunia "Global citizen"

    Tanzania inatazamia kuhakikisha raia wake wanatoka nje ya boksi na kushiriki kikamilifu bila kujifungia mipaka juu ya ustawi wa Dunia, yaani Raia wa Dunia. Kupitia jukwaa hili nimetamani sana kutoa mtazamo wangu ambao unaweza pia kuwa ushauri. Lengo ni kuhakikisha ushiriki wetu kama Taifa...
  10. Ushauri: Kabla Serikali haijaruhusu Watanzania kufanya vibarua Israel wajirithishe uwezo wa sasa wa Israel kujilinda na kulinda raia wake

    Kuna habari kuwa Israel imeamua kuwanyima ajira wapalestina na sasa anataka kitafuta vibarua wapya mashambani kutoka Afrika na kwingineko duniani. Hii nimeisoma humuhumu JF. Nashauri kabla hatujarisk kuwapeleka raia huko kupiga shekeli basi tujirithishe uwezo wa nchi hiyo kujinda. Kama bado...
  11. J

    Hamas wajibu sababu ya kuteka na kuua raia wa kigeni: Inatuma ujumbe taifa haramu la Israel sio salama kuingia

    Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia...
  12. balozi zetu zijitafakari kwa raia wake waliopo nje

    hizi balozi za asante au kukomoana hapa nchi zinazopeleka watumishi kiukweli ni aibu na hakuna msaada wowote wa faida yoyote cha kutuletea wala kutusaidia. ukipata matatizo pambana nayo wewe mwenyewe sio kama balozi zengine zikifatilia raia wake hata kama kalewa bichi kidumbwi. jambo...
  13. Raia Iran wafanya maandamano ya furaha, maana furaha ni haram kwa hiyo nchi inayooongzwa kidini

    Nchi ya Iran inayoongozwa kwa itikadi za dini ya kiislamu huwa imeharamisha vitu vingi sana ikiwemo kucheza kwa furaha, sasa raia wa Iran wameanzisha aina mpya ya maandamano ili kujitoa kwenye utumwa wa kidini, wanacheza kwa furaha nchi yote na kupachika video kwenye mitandao, japo pia...
  14. Rais Ruto: Kuanzia Januari 2024, Raia wa mataifa yote wataingia Kenya bila kuwa na Viza

    Akizungumza katika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa, Rais Ruto amefanya mabadiliko ya kauli yake ambapo awali alisema Nchi za Afrika pekee zitakuwa huru kuingia Kenya bila kuwa na Viza lakini sasa ahadi yake inakuwa kwaajili ya mataifa yote duniani. Ruto amesema “Ni furaha kubwa, kama Rais...
  15. M

    Peter Madeleka kusikiliza kesi ya Gekul mahakama ya Wilaya kwa tuhuma alizonazo dhidi ya Hamis

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa X Hatua ya KWANZA kuhusu GEKUL ndiyo hiyo hapo 👇. Natarajia Mahakama ya Wilaya ya Babati itatimiza WAJIBU wake kwa wakati, ili Kuanzia Jumatatu tarehe 11 Disemba 2023 hatua nyingine za KISHERIA ziendelee. Hatua hiyo nimeichukua chini ya kifungu cha 128(2) na...
  16. Raia 7 wa Kigeni wachomwa moto wakiwa hai katika Jiji la Johannesburg, chini Afrika Kusini

    Hofu ya ghasia na mauaji ya chuki dhidi ya wageni imerejea Johannesburg ambapo Jumamosi iliyoisha nyakati za asubuhi takriban wageni saba walichomwa moto wakiwa hai katika kitongoji cha Diepsloot nje ya mji wa Johannesburg. Hii ilifuatia msako mkubwa wa wanajamii kutafuta waharifu Ijumaa usiku...
  17. M

    NADHARIA Raia wa visiwa vya Fiji walitokea Tanganyika

    Pamekuwa na maneno kuwa Wananchi wa FIJI wana asili ya Tanganyika. JamiiChek tusaidieni kufanyia kazi suala hili. Wakazi wa Fiji (Chanzo: Mtandao)
  18. Tazama Waisrael waoga wakipambana na raia wasio na silaha tena kiziwi

    Wanaukumbi. Wanajeshi wa Israel wanachapisha video inayowaonyesha wakimtesa kiziwi kutoka Gaza. Hili linakubalika kabisa kwa utawala wa mauaji ya halaiki huko Tel Aviv na kusherehekewa na Wazayuni kote Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Israel haina nafasi katika Asia ya Magharibi...
  19. Faida ya kuwa Mtanzania ni ipi basi iwapo raia wataanza kuuziwa NIDA na Kitambulisho cha Kura?

    Muswada uliosomwa kwa mara ya Kwanza kuhusu sheria ya Uchaguzi umeelekeza wananchi kulipia Kadi ya Mpiga Kura endapo atataka kuihuisha tena. Hili suala halipo mbali na NIDA ambapo jambo la Kulipishwa wakati wa kukihuisha lipo. Nini maana ya kuwa Mtanzania endapo hadi kutambuliwa uwepo wake...
  20. R

    Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, zuia watumishi chini yako kusumbua raia maskini wasio na Leseni

    Twende haraka kwenye mada, Taarifa zilizotufikia Kutoka vyanzo vya kuaminika zinadai kuwa Hali ni Tete mitaani, Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza ameanzisha operation ya kuwasaka wote wasio na Leseni Hadi nyakati za usiku. Ikumbukwe kuwa ,wapo wafanyabiashara wa kipato Cha chini wasio na uwezo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…