rais

  1. Madwari Madwari

    Tafuta hela Rais anashinda na mtoto wako ,wewe ukiwa busy na mambo yako ya kazini

  2. Meneja Wa Makampuni

    Rais Dr. Samia, Tanzania Inaweza Kuzalisha Petroli, Dizeli, Jet Fuel, Methanol, Amonia na Urea Kutoka Kwenye Gesi – Tutauza Haraka Sana

    Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania Inaweza Kuzalisha Petroli, Dizeli, Jet Fuel, Methanol, Amonia na Urea Kutoka Kwenye Gesi Yetu – Tutauza Haraka Sana! Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, Kwa heshima, taadhima, na unyenyekevu mkubwa, ninakutakia afya...
  3. Waufukweni

    Prof Jay: Rais Samia alikuwa kama Mama yangu, alipata uchungu wa Mama

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule maarufu Prof Jay amesema Rais Samia alikuwa kama Mama yake wakati akimshukuru kwa jitihada zake za kumtibia.
  4. Rozela

    Rais Samia Suhuhu Hassan, mama wa Taifa naomba unialike hapo ikulu nije kunywa chai mama

    Shkamoo mama, najua protocol haziruhusu ila naomba unialike hata tusipo onana ni sawa, nahitaji tu kunywa chai ya ikulu na kupunga hewa kwa nusu saa kabla sijarudi mtaani kuendelea na utafutaji. Ntashukuru sana mama japo sikubaliani na wewe katika mambo kadhaa ila natamani kunywa chai ya ikulu...
  5. The Watchman

    Pre GE2025 Katikati ya matangazo ya 'Live' ITV Mgeni aomba watu wote studio wasimame kumuombea Rais Samia, Watangazaji wapata kigugumizi kumzuia

    Siku ya ya jana tarehe 13 Machi 2025 ITV walikuwa wakirusha matangazo mbashara kipindi cha malumbano ya hoja mada ikiwa 'kutofanyika kwa dabi ya Simba na Yanga nini kifanyike?'. Wakati kipindi kinaendelea akakaribishwa mchangiaji mmoja akijulikana kwa jina la Ramadhan Kampira, Mwenyekiti wa...
  6. Ojuolegbha

    Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ime

    Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Shilingi Bilioni 16 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya, kwa ajili ya Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto, pamoja na...
  7. JanguKamaJangu

    Rais Ruto: Mtaniua kwa majina, kutoka Zakayo hadi Kasongo

    Rais wa Kenya, William Ruto: “Mtaniua na majina. Mlianza na hustler, mkaenda Zakayo alafu kasongo,” President Ruto jokes days after Kenyans gave him a new nickname, El Chapo
  8. Setfree

    Rais Trump Ametimiza Tena Unabii Mwingine!!

    Mdogo, mdogo, mambo yaliyotabiriwa na kuandikwa kwenye Biblia yanazidi kutimia. Katika kitabu cha 2 Timotheo 3:1-17 BHN imeandikwa hivi: "Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye...
  9. Ojuolegbha

    Rais Samia ashiriki Mkutano wa Asasi ya Ulinzi na Usalama SADC kwa njia ya mtandao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC kwa njia ya Mtandao pamoja na viongozi...
  10. Ojuolegbha

    Rais Samia ameitendea Haki Elimu nchini

    Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya vya msingi na Sekondari vimejengwa, lakini kama haitoshi kumejengwa shule za awali 1,600 ambazo...
  11. G

    SHULE ZA MSINGI ZAIDI YA 468 ZIMEJENGWA TANGU RAIS SAMIA ALIPOINGIA MADARAKANI

    Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya vya msingi na Sekondari vimejengwa, lakini kama haitoshi kumejengwa shule za awali 1,600 ambazo...
  12. T

    Pre GE2025 Mbeya: Dkt. Tulia amjengea nyumba mwananchi aliyeomba kujengewa na Rais

    Obeid Mwalopale Mkazi wa kijiji cha Matema kata ya Matema wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya aliyemuomba Rais Samia Suluhu Hassan amsaidie kumjengea nyumba ya kuishi yeye pamoja na familia yake hatimaye amefikiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson baada ya taasisi...
  13. The Watchman

    Pre GE2025 Wananchi wafanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, ni ajenda ya kumpigia kampeni Rais Samia

    Wakuu Hii ni kwamba Wananchi wamefanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, wananchi ni kama wamepewa maelekezo ni cha kusema. Hii ni sehemu ya ajenda ya kumpigia kampeni ya mitano tena hakuna la maana. ======= Wananchi wa Kata ya Mtipa, mkoani Singida, wamefanya sherehe kubwa...
  14. KakaKiiza

    Walemnaoguswa na maazi ya rais Trump njoo hapa useme wewe umeathirika namna gani?

    Inajulikana Rais Trump katika kipindi kisichozidi siku 100 maamzi yake yameathiri watu wengi na Taasisi nyingi duniani kote,najua Tanzania siyo kisiwa lazima kuna watu wameathirika na maamzi ya hovyo kwakipindi hiki kifupi! Karibu!
  15. Mganguzi

    Emanuel nchimbi likitokea lolote anaweza kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.je tumempima anaweza kufaa kuwa rais wa nchi?

    Kwa mujibu wa katiba yetu ,rais aliyepo madarakani ikitokea kapata dharula ya ugonjwa ambao hawezi Tena kuhudumu kama rais wa nchi ama kupatwa na umauti basi makamu ndiye atarithi nafasi yake ,swali ni je huyu nchimbi anaweza kuvaa viatu vya rais ? Tunaweza kujikuta kwa mara ya kwanza tunapata...
  16. MBOKA NA NGAI

    Rais wa DRC tayari kwa mazungumzo na M23

    Equation x jibu hili hapa. Si kila kitu kinawekwa wazi, lakini upungufu wa kasi wa M23, kuna ahadi ambayo mpaka sasa haijatekelezwa. Na ukweli kama hatageuza kibao, mpaka sasa yupo tayari kukaa meza moja na M23. Na ikumbukwe: M23 mwanzoni ilikuwa inatetea haki za Congoman waongeao kinyarwanda...
  17. O

    Nia na madhumuni ya rais Trump ni yapi hasa?

    Heshima kwenu nyote wana jamii forum. Nimekuwa nikifuatilia matakwa na makusudio ya rais Trump toka aingie madarakani, matamanio yake yamekuwa yakiniachia maswali ya kujiuliza pamoja na kwamba hata walengwa wake wamekuwa wakimtolea nje. Mfano alianza na kutaka kuinunua Gaza,ikafuatiwa na kutaka...
  18. Ojuolegbha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 3

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  19. Inside10

    Rais Samia amuonya Mchengerwa

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuonya Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa na kumwambia kama hatawachukulia hatua viongozi wa chini yake wanaoshindwa kusimamia mapato ya serikali, atawachukulia hatua viongozi hao pamoja na waziri huyo.
  20. Camilo Cienfuegos

    Komando mstaafu na aliyeshriki Jaribio la Mapinduzi dhidi ya Nyerere mwaka 1982, Christopher Kadego alitekwa na kuuwawa kwa amri ya Rais Magufuli

    Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President. Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere. Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza...
Back
Top Bottom