Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?!
Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na kuwatangazia msamaha?!
Mwenzenu ninayo hofu kuu iliyo wazi kuhusu ajaye kutokuyavumilia hayo hapo juu...