rais biden

Arti K. Rai is an American legal intellectual and former public official. She is currently the Elvin R. Latty Professor of Law at Duke Law School. She was previously a member of the Presidential transition of Barack Obama and subsequently served in the Department of Commerce as a Patent Office advisor. During the early 2000s, Rai was one of the leading academic advocates of patent reform, particularly the creation of a robust post-grant opposition system for U.S. patents.

View More On Wikipedia.org
  1. Ritz

    Biden atangaza malipo ya mara moja ya $770 kwa waathiriwa wa moto huko California

    Wanaukumbi, Biden atangaza malipo ya mara moja ya $770 kwa waathiriwa wa moto huko California. Malipo haya yatatumika kununua mahema. Yaani unaunguliwa nyumba unapewa dola 700 pesa ya iphone. Pesa zote wanapeleka Israel Ikumbukwe kuwa, Marekani ilitenga jumla ya dola bilioni 17.9 kwa msaada...
  2. U

    Rais Biden aidhinisha msaada wa kijeshi kwa Israel wenye thamani ya Dola billion 8, yapo makombora hatari na droni za kisasa na mabomu mazito

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden amebakiwa wiki 2 tu kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Trump Ameamua kuidhinisha msaada wa Mwisho Kwa taifa takatifu kabla ya kuondoka Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Biden administration prepping $8 billion arms package...
  3. B

    Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia

    02 December 2024 Washington DC na Luanda Angola ZIARA YA RAIS JOE BIDEN AFRIKA KULETA FURSA KWA MATAIFA MANNE Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia juu ya mradi wa reli kutoka Lobito, Angola utakaopita DR Congo, Zambia hadi Bahari ya Hindi Tanzania...
  4. U

    Rais Biden amsihi sana Netanyau asishambulie vinu vya nyuklia vya iran

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden amuomba Netanyau asilipue kinu cha nyuklia Iran Soma Pia: Naftali Bennett ataka kinu cha nyuklia na mfumo wa kuzalisha nishati Iran kulipuliwa ====== Biden urges against attack on Iran nuclear sites as Israel mulls payback Remains of a ballistic missile...
  5. Gemini AI

    Rais Biden apendekeza Marais wa zamani waondolewe Kinga ya Mashtaka, Majaji wawe na ukomo wa utumishi

    President Biden Announces Bold Plan to Reform the Supreme Court and Ensure No President Is Above the Law From his first day in office—and every day since then—President Biden has taken action to strengthen American democracy and protect the rule of law. In recent years, the Supreme Court has...
  6. Carlos The Jackal

    Huenda Rais Biden, akajiondoa /akalazimishwa kujiondoa kinyang'anyiro Cha Urais 2024?

  7. Black Butterfly

    Inadaiwa Obama na Spika Mstaafu Pelosi wamemshauri Rais Biden atafakari kama anaweza kushindana na Trump katika uchaguzi

    MAREKANI: Ikiwa imepita Siku moja tangu Rais Joe Biden atangazwe kupata maambukizo ya #COVID-19 na kusitisha kampeni, Vyombo mbalimbali vya Habari vya Kimataifa vimeripoti kiongozi huyo ameshauriwa kutafakari upya juu ya kushindana na Donald Trump - Licha ya kauli ya Biden ya hivi karibuni kuwa...
  8. BARD AI

    Rais Biden anatafakari iwapo atashindana na Trump katika uchaguzi wa Novemba

    MAREKANI: Mtandao wa New York Times umeripoti kuwa Rais Joe Biden anatafakari iwapo ataendelea na mipango ya kugombea Urais kwa awamu ya pili iki ni baada ya matokeo mabaya ya Mdahalo kati yake na Rais wa zamani, Donald Trump Imeelezwa kuwa Biden ametambua kuwa ana kibarua kigumu kuwashawishi...
  9. 6 Pack

    Rais Biden ashauriwa kutogombea uraisi wa Marekani, sababu analiaibisha na kulivua nguo taifa lake

    Niaje waungwana, Kusema ukweli kwa hali aliyofikia raisi wa Marekani mhe. Joe Biden, ni vizuri akashauriwa au akajishauri mwenyewe kuacha kugombea uraisi wa Marekani ili apate muda wa kwenda kupumzika nyumbani kwake na wajukuu zake. Ikiwa ataruhusiwa kuendelea kugombea na pengine akashinda...
  10. BARD AI

    Trump adai Rais Biden aliagiza maafisa wa FBI wamuue wakati wa upekuzi nyumbani kwake

    MAREKANI: Rais wa zamani wa Marekani, ametoa madai dhidi ya Rais Joe Biden kuwa aliwaagiza Majasusi wa FBI kumuua kwa Risasi wakati walivamia makazi yake na kufanya upekuzi ulioibua nyaraka za masuala ya Usalama wa Taifa nyumbani kwake Trump amesema "Biden aliagiza nguvu ya mauaji itumike...
  11. BARD AI

    Rais Biden asaini Sheria itakayoifungia TikTok kama haitamilikiwa Marekani

    Biden signs Israel, Ukraine, TikTok bill into law President Joe Biden signed into law measures to provide aid to Israel, Ukraine and Taiwan, as well as force the divestiture of social media platform TikTok from its Chinese parent company ByteDance or face a national ban. TikTok has vowed to...
  12. I

    Kwanini Putin angependa kuona Rais Biden (badala ya Trump) akirejea tena madarakani nchini Marekani

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema angependelea urais wa Joe Biden badala ya Donald Trump kabla ya uchaguzi wa Marekani mwezi huu wa Novemba. Bwana Biden alikuwa mtu mwenye uzoefu zaidi, anayeweza kutabirika, alisema kwa maneno ambayo hakika yatainua nyusi. Kabla ya Bw Trump kugombea urais...
  13. M

    Rais Biden, Waziri wa Ulinzi na Waziri wa mambo ya nje wa Marekani washitakiwa katika mahakama huko Marekani kwa kusaidia uzeshwaji wa Genocide Gaza

    Rais Joe Biden awa rais wa kwanza katika historia ya Marekani kufunguliwa kesi ya uhusika wa mauaji ya Kimbari. Hii inatokana na msaada wa silaha na kiintelijensia na kushindwa kwake kuchukua hatua stahiki zilizomo katika uwezo wake kuzuia mauaji ya kimbari huko Gaza. Kesi hiyo imefunguliwa na...
  14. Webabu

    Netanyahu na Rais Biden hawasemezani kwa muda mrefu sasa. Sababu ni vita vya Gaza

    Vita vya Israel na Palestina vinazidi kutoa matokeo hasi na ambayo hayakutarajiwa kabisa. Mataifa rafiki na ya kiislamu yameanza kutofautiana na kuanza kupigana yenyewe mfano ni Iran na Pakistan na Iran kupiga ndani ya Syria na Iraq bila hofu ikiwinda vikundi vinavyofadhiliwa na Israel. Hata...
  15. B

    Maswahiba wa Gaza ana kwa ana na rais Biden

    Katika hali ambayo hakuitegemea, bwana Joe Biden kajikuta akibananishwa na wapenda haki kanisani: https://www.bbc.com/news/av/world-us-canada-67886694 Kwamba kalazimika kukiri kuwa hata yeye kukereka na kuwa anapambana na Natenyahu, usiku na mchana akimtaka aondoke Gaza? Kwa hakika yahitaji...
  16. sky soldier

    Wabunge nchini Marekani wamepiga kura za kumwondoa Rais Biden madarakani kwa tuhuma za Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka kuitajirisha familia yake

    Wabunge nchini Marekani wamepiga kura kukosa imani na Rais wao Joe Biden kwa malalamiko ya kwamba Rais anatumia madaraka yake kula rushwa, kutakatisha fedha na familia yake kuwa na utajiri wa mabilioni huku vyanzo vikitiliwa mashaka. Matokeo ya kura, Wabunge 221 wameunga mkono, wabunge 214...
  17. Adolph Jr

    Tetesi: Je ni kwanini Trump alishindwa kumkabidhi rais Biden sanduku la nyuklia.?

    Tunaishi ndani ya dunia iliyo ndani ya begi dogo mno ni kiasi cha mistake ndogo tu tunaiacha dunia, twende pamoja.... Fununu kuhusu sanduku hilo... Sanduku hili ndilo inaloitwa black Box ama 'sanduku la nyuklia', sanduku lililotengenezwa kwa chuma linalomuandama rais wa Marekani kila mahali...
  18. Kingsmann

    Rais Biden amehojiwa kuhusiana na faili za siri zilizopatikana nyumbani kwake na ofisini

    Rais Joe Biden kwa muda wa siku mbili zilizopita alishiriki katika mahojiano ya hiari na wakili maalum Robert Hur kama sehemu ya uchunguzi wake wa nyaraka za siri, Ikulu ya White House ilitangaza Jumatatu. "Rais amehojiwa kama sehemu ya uchunguzi unaoongozwa na Wakili Maalum Robert Hur,"...
  19. JanguKamaJangu

    Rais Biden asema Trump ni tishio kwa Demokrasia

    Rais wa Marekani, Joe Biden, amezidisha mashambulizi yake dhidi ya rais wa zamani Donald Trump, Alhamisi, katika hotuba kali ambayo amewahi kutoa hadi sasa, kwamba rais huyo wa zamani na mgombea anaeongoza katika chama cha Republikan, ni kitishio kwa desturi na taasisi za kidemokrasia za nchi...
  20. T

    Kijana aliyetushia uhai wa Rais Biden auawa

    Moja ya story nimeipenda ktk kupitapita mtandao I ni hii ya kijana mmoja huko Marekani kuuwawa na FBI baada ya kutisha Uhai wa Rais Biden. Je ingekuwa kwetu Tz tungesema mengi Rais dictator na hana ubinadam ila huko Demokrasia inapozaliwa jamaa wamemlaza down bila hata kutaka kujua why alikuwa...
Back
Top Bottom