Rais Bassirou Diomaye Faye amevunja Bunge linaloongozwa na Upinzani kwa kile kilichoelezwa ni kuondoa mvutano uliopo kati ya Wabunge na Mhimili wa Serikali.
Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 6 tu tangu Serikali mpya ilipoingia Madarakani huku akieleza Bunge hilo linaloongozwa na upinzani...
Miezi 6 baada ya Rais wa Senegal Basirou Diomaye wa Senegal na Waziri wake Mkuu Ousmane Sonko wameanza kuleta visingizio Kwa Kushindwa Kutimiza Baadhi ya ahadi zao walizodai watazitatua ndani ya siku 100.
Serikali ya bwana Faye inasingia Bunge Kumkwamisha ambalo lina Wabunge wengi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.