rais hussein mwinyi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Mwinyi: Zanzibar na Comoro kuendeleza uhusiano wa kibiashara

    RAIS MWINYI: ZANZIBAR NA COMORO KUENDELEZA UHUSIANO WA KIBIASHARA Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema wakati umefika wakurejesha diplomasia ya Uchumi na kuendeleza biashara baina ya Zanzibar na Comoro kwa maslahi ya pande zote mbili. Rais Dk...
  2. Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

    Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka. Choo mlangoni wameweka gunia au khanga Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga. Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri. Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa...
  3. Harusi ya kuolewa Binti wa Rais Hussein Mwinyi

    Nmepita pita kwenye mtandao nimekutana na picha za sherehe ya HARUSI ya kuolewa kwa BINTI ya muheshmiwa Rais wa Zanzibar Ndugu Hussein Mwinyi. Nmepatwa kiu ya kujua huyu mshaikaji aliepata hii Bahati, na naskia jamaa NI mmasai wa Arusha na NI Mkristo sasa sijajua Nani kabadilisha dini hapo...
  4. Pre GE2025 CCM Zanzibar wapendekeza Rais Mwinyi atawale kwa miaka 7, wasema kufanya uchaguzi 2025 ni hasara na matumizi mabaya ya fedha za umma

    Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuongoza nchi katika muhula wake wa kwanza kwa kipindi cha miaka saba badala ya mitano. Hayo yamesemwa...
  5. R

    Kwanini Wazanzibari wanampiga vita Rais Hussein Mwinyi?

    Huku Zanzibar kuna mgawanyiko mkubwa kisiasa. Mzee Mwinyi anafanya vizuri sana kuleta maendeleo lakini hakubaliki. Baadhi ya factors zinazofanya asikubalike ni hizi hapa. 1. Siyo Mzanzibari 2. Anadaiwa kudharau kila kiongozi aliyepo chini yake 3. Anawafokea na kuwanyanyapaa viongozi wenzake...
  6. B

    Pre GE2025 Rais Hussein Mwinyi tunakutaka utuletee Maendeleo Bara kama unavyofanya Zanzibar

    Wakati Rais Hussein Mwinyi anaingia madaralani, uchumi wa Zanzibar ulikuwa kunakuwa kwa asilimia zisizozidi 5. Lakini ndani ya kipindi cha miaka 3 tu uchumi wa Zanzibar leo unakua kwa asilimia 6.8 huku wa bara ulikuwa unakua kwa asilimia 7 kabla ya kifo cha Rais Hayati JPM tena katikati ya...
  7. Rais Hussein Mwinyi siyo kila Unachoambiwa na Mgeni Jirani ukiamini 100%, kwani Wengine huwa Wanakusanifu na Kukudharau pia

    "Gwaride lile la Askari Wetu hasa wale Makomandoo lilifanya tukiwa katika Hafla Ikulu ya Zanzibar Marais Wageni wa Nchi Jirani wasifie na waseme hakika Tanzania imewazidi vingi" alisema Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi. Chanzo: Nipashe ya Radio One leo Saa 12 na Nusu za Asubuhi. Hakuna...
  8. Rais Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Tanzania hapo mbeleni

    Ndugu wapendwa JF wasalam. Hodi Jukwaani. Darubini yangu imeona dalili na Ishara ziko wazi kwamba huyu mjamaa anaandaliwa na kwakweli he has all possible qualifications for the post. Just check, uadilifu, uaminifu katika utendaji na utekelezaji mipango SUK, bidii na uchapakazi, hana makundi...
  9. Barua ya wazi kwa Rais Hussein Mwinyi

    Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi, nakuandikia hapa kwa sababu nahisi ndio sehemu pekee ujumbe unaweza kukufikia. Sisi wafanyabiashara mara nyingi huwa tunakopa fedha benki ili kuendesha biashara zetu, na sisi kama wengine tumekuwa tunakopa mara nyingi na kufanya valuation ya mali zetu kama...
  10. Zanzibar: Rais Hussein Mwinyi atengua uteuzi wa Wakurugenzi watatu

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua utenguzi wa Dkt. Abdulla Suleiman Ali aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu (Afya) Wizara ya Afya Wengine waliotenguliwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Sekretarieti ya Tume ya Ushindani Halali wa Biashara, Mohammed Jaffar Jumanne na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...
  11. Rais Hussein Mwinyi na CAG Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Viongozi na watendaji wa Wizara na Idara za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutekeleza wajibu wao katika kusimamia mifumo ya ukusanyaji na matumizi ya fedha za Serikali, huku akibainisha kuwa Serikali...
  12. Rais Hussein Mwinyi afanya uteuzi wa viongozi watatu

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Capt. Khatib Khamis Mwadin kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) Mudrik Fadhil Abass ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Maji katika Wizara ya Maji,Nishati na Madini Pia, Dkt. Mwinyi amemteua Nassor Shaaban...
  13. U

    Kumbukizi Katika Picha: Mzee Ally Hassan Mwinyi, mkewe & watoto wao akiwamo Rais Hussein Mwinyi

    Picha ya kutambo Mzee Mwinyi Akiwa na familia yake
  14. S

    Rais Mwinyi umetudhalilisha Wazanzibari. Waziri wa Michezo angetosha mazungumzo na Mamadou Sakho

    Nimeona aibu sana na niliondoka kimya kimya huku nikisononeka inakuwaje Rais wa Nchi anajidhalilisha kwa mcheza mpira? Au ndio ukisikia itifaki imezingatiwa ndio huku? Tena kwa red carpet kesho na kesho kutwa mchezaji anakunya mbovu inakuwaje hapo? Au kuna mtonyo wa 10% Kusema kweli ni aibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…