CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemuomba Rais Jakaya Kikwete kuvunja Baraza la Mawaziri kisha awaondoe wanaotajwa kuwa mizigo.
Akizungumza Dar es Salaam jana, wakati wa uzinduzi wa Rasimu ya Sera ya Chadema ya Mabadiliko ya Tabianchi, Mkurugenzi wa Habari na Uenezi, John Mnyika...