Wakuu,
Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, aliachiwa huru Jumamosi baada ya kushikiliwa kwa siku 52, baada ya upande wa mashtaka kuamua kutokata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama uliobatilisha kifungo chake siku ya Ijumaa.
Yoon alikamatwa Januari 15 na kufunguliwa rasmi mashtaka Januari 26...