Biblia inapotukumbusha tuishi na wanawake kwa akili, siyo bahati mbaya, humaanisha.
Wanawake ni viumbe hatari mno hapa Duniani!
Chanzo cha ugomvi wa wawili hao ni mke wa Kiza dada Winnie ambaye awali alikuwa mpenzi wa Museveni wa ujanani. Museveni, kwa hiari yake mwenyewe, aliamua kuachana na...
Huko kote kuanzia Uganda, Rwanda, Congo, Rhodesia hadi South Africa sisi Tanzania ndio baba lao
Kagame na Museven wanaelewa vizuri Sana hivyo ni vema waachane na mambo ya M23
Jumapili Njema
Rais Yoweri Museveni akitoa somo zito la historia Novemba 29, 2024.
Katika hotuba yake ya kihistoria, Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, jana tarehe 29 Novemba, 2024 katika kusherehekea Miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), aliwapa viongozi wa Jumuiya hiyo somo la kina kuhusu...
Muuzaji wa viatu vya mitumba mwenye umri wa miaka 27, Bw. Juma Musuuza maarufu kama Madubarah, amekuwa TikToker wa tano wa Uganda kuwekwa rumande na Hakimu Mkuu wa Entebbe, Stella Maris Amabilis, ndani ya kipindi cha chini ya wiki moja, akituhumiwa kwa hotuba ya chuki na kusambaza taarifa za...
A group of exiled Ugandans has announced its intent to return to Uganda by force if necessary.
In an October 5th statement issued from Kisangani, Democratic Republic of Congo, the 'Coalition of Exiled Ugandans' outlined their mission to mobilize other exiles for an organized return to end...
Rais Yoweri Museveni amewaonya Wananchi wanaopanga Maandamano ya Julai 23, 2024 yanayolenga kupinga Vitendo vya Rushwa nchini humo.
Museveni amesema "Una haki gani unayotafuta kwa kuleta machafuko? Tuna shughuli nyingi za kuzalisha mali, unapata chakula cha bei nafuu, sehemu nyingine za dunia...
Ukistaajab ya Musa utayaona ya firauni.
Ndio!! Rais wa Uganda Yoweri Museveni kupitia ukurasa wake wa twitter, amekemea shambulio la risasi alilofanyiwa Donald Trump na kumpa pole.
Rais Museveni amedai vurugu za kisiasa zinaweza kusababisha demokrasia isichukue nafasi yake🤣
Yapi maoni yako...
Mahakama moja iliyopo Entebbe Nchini Uganda imemuhukumu kifungo cha miaka sita jela TikToker mwenye umri wa miaka 24, Edward Awebwa baada ya Kijana huyo kuchapisha video fupi kwenye akaunti yake ya TikTok akimtusi na kumkashfu Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Mke wa Rais, Janet Museveni, na Mtoto...
Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa .
Tabia hii ni ya kupingwa kama mtu mzalendo sana ni bora uweke katiba nzuri ya Nchi au Chama ili kila anae ingia...
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekataa kusaidini muswada wa Fedha hasi hapo Bunge litakaporejesha pesa kiasi Cha Bilioni 750 zilizotengwa Kwa matumizi mengine ya serikali ambayo hayajabainishwa wazi.👇👇
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amekataa kutia saini Muswada wa Matumizi ya Pesa za Bajeti...
Nimeona taarifa hiyo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mwanaye huyo ameteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda.
Wengi wamehusisha uteuzi huo kuwa ni kuimarisha familia yake ambapo Mkewe Mama Janet Museveni ni Waziri wa Elimu kwenye Serikali, Mwanaye wa Kwanza Muhoozi ni Mkuu wa...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni anatarajia kuwasili Zanzibar kwa ajili ya Maziko ya rafiki yake Hayati Mwinyi. Ikumbukwe Museveni na Mwinyi walipata madaraka ya Rais miaka ya 1985/86 Ila mmoja mpaka Leo yupo madarakani
Rais Yoweri K. Museveni amesema Bajeti hiyo itakuwa ikitengwa kila mwaka ikiwa na lengo la ili kukuza ubunifu wa Kiteknolojia nchini humo pamoja na kuwapa motisha Wabunifu wanaoingia kwenye Soko la Teknolojia.
Kwa upande wake Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu Dk Monica Musenero...
Rais Museveni ametoa agizo kwa serikali kuongeza mishahara ya walimu wanaofundisha programu za sayansi katika vyuo vikuu vya umma.
Agizo hili limetokana na taarifa iliyotolewa na Profesa Eli Katunguka, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kyambogo, ambaye alionyesha wasiwasi kuhusu changamoto...
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni amekutana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko Ikulu ya Entebbe nchini humo ili kupokea salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia Sherehe za Miaka 61 ya Uhuru wa Nchi ya Uganda...
Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru na kutarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka Nchi mbalimbali
Sherehe...
Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja.
Museveni amesema "Inasikitisha kuona Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutulazimisha...
Kwa mujibu wa Kamishna wa Haki za Binadamu wa UN, hatua hiyo inafuatia uamuzi wa Serikali ya Rais Yoweri Museveni kutohitaji kuendelea kwa Makubaliano ya uwepo wa Ofisi hizo nchini humo.
Katika taarifa yake, UN imetilia shaka kukosekana uwazi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2026...
Akihutubia bunge la Pan Africa miaka kadhaa iliyopita Museveni ameeleza kuwa, umoja wa nchi za Africa uliunda kamati ya usuluhishi ya marais kadhaa wa Africa kwenda kutafuta Suluhu huko Libya lakini NATO ikawaambie wageuze hakuna kuingia Libya. Hii video ilikuwa ni kama imefichwa hivi kwa miaka...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kuwa hatimaye amepona virusi vya ugonjwa wa Covid-19 baada ya vita vya wiki mbili na virusi hivyo.
Mkuu huyo wa nchi mwenye umri wa miaka 78, katika taarifa yake Jumapili, alisema kwamba matokeo ya vipimo yalirudi yakionesha kuwa hana Covid na sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.