Mtoto mkubwa wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni anasema kuwa atastaafu kutoka jeshi mwaka huu, baada ya karibu miongo mitatu ya kuhudumu ndani ya Jeshi.
Muhoozi Kainerugaba, jenerali wa jeshi, alitoa tangazo hilo katika chapisho la Twitter.
"Nitastaafu UPDF mwaka huu," alitweet.
Alitoa tangazo...