Wana JF, hebu tuweke mawazo mezani. Fikiria upo chumba kimoja na Rais Samia Suluhu Hassan na Dk. Hussein Mwinyi kwa dakika 3.
Kama kijana chini ya miaka 35, unapata nafasi ya kushauri jambo moja tu, na wanakuhakikishia litatekelezwa kwa asilimia 100
Ukipewa hii nafasi, ungewashauri nini? Tupe...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema jamii ina Wàjibu wa Kujifunza Umuhimu wa Amani kupitia Mambo yanayojiri katika Nchi zilizokosa Amani Ulimwenguni.
Akizungumza katika Dua Maalum ya Kuiombea Nchi pamoja na Viongozi Wakuu, Rais wa Zanzibar na...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) ameisisitiza UVCCM kuendeleza kasi ya uhamasishaji uandikishaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura na kuhakikisha vijana wengi wanajiandikisha...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Wafanyabiashara kujiandaa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya biashara kwa uadilifu, huruma na kuacha tabia ya kupandisha bei bidhaa kwakuwa wanaoumia ni wananchi.
Alhaj Dkt. Mwinyi ametoa tamko...
Wakuu,
Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini wamefanya harambee ya kuwachangia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani pamoja na Rais wa zanziba Dkt.Hussein Mwinyi Fedha za kuchukua fomu ya ugombea Urais 2025 ikiwa ni katika hatua za kuwaonga mkono kutokana na kazi nzuri...
Mdomo uliponza kichwa.
Wazazi, pelekeni watoto shule. Huyu mjumbe wa mkutano mkuu, kama angekuwa amemaliza hata kidato cha nne kwa alama 31, angeelewa kwamba lile lilikuwa tu igizo.
Kikao kilikuwa kimepangwa vizuri, kila jambo likiwa limeandaliwa kwa mpangilio maalum, lakini mtoa hoja aliamua...
Rais Mwinyi wa Zanzibar ana ulinzi wenye madoido na wa aina yake. Amenikumbusha enzi ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufuli. Hongera sana Rais Mwinyi!
Mzee huyo anasema Rais Mwinyi kwa miaka 60 iliyopita hajatokea kama yeye, ameongeza kuwa shida yake ni maendeleo na aliamini kuwa wakipata uongozi mpya basi watayapata, lakini bahati mzuri hayo maendeleo wameyapata kupitia kwa Mwinyi. Amesema kuwa, Hayati Maalim Seif alisema wazanzibar wakimpa...
RAIS MWINYI: SERIKALI ITAENDELEA KUJENGA NYUMBA ZA KISASA ZA WANANCHI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewathibitishia Wananchi kuwa Serikali itaendelea Kujenga Nyumba za Kisasa Maeneo yote ambayo yana Nyumba zilizo Chakavu kwa lengo la kuwapatia...
RAIS MWINYI: KILA MWANANCHI KULIPWA FIDIA ANAYOSTAHILI.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi kuwa Serikali itamlipa kila Mwananchi haki yake na hakuna Mwananchi atakae sononeka kwa Kukosa fidia.
Rais Dk.Mwinyi ametoa agizo la...
RAIS MWINYI: SEKTA YA UJENZI IMETEKELEZA MIRADI MINGI NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amefahamisha kuwa Sekta ya Ujenzi ni miongoni mwa Sekta iliofanya vizuri katika Utekelezaji wa Majukumu yake kwa Kazi nzuri ya Ujenzi wa Madaraja...
RAIS MWINYI: KUSHUKA KWA DOLA KUTAPUNGUZA BEI ZA BIDHAA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kushuka kwa thamani ya dola nchini ni faraja kubwa kwa Uchumi kwani kutapunguza ugumu wa gharama za maisha kwa wananchi.
Rais Dk. Mwinyi ameyasema...
Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ametupa kijembe kwa vyama vya upinzani ambavyo vimezoea kutoa kasoro katika miradi mbalimbali na kusema ndo wanaanza
Kwa mujibu wa Hussein mwinyi amesema sasa watamtungia jina la Mwinyi maflyover na wakisema hawaoni watazame ya angani kama hawaoni watakuwa Juha.
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Daktari Hussein Mwinyi anatarajiwa kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
katika mkutano wa dharura...
Wakuu,
Kumbe CCM wana tawi hadi huko Uchina?
Leo nimeona tawi la UVCCM huko nchini China likimpongeza Rais Mwinyi kwa anayoyafanya huko Zanzibar katika utawala wake.
Soma pia: Shamira Mshangama Akabidhi Simu 9 na Kadi 1,000 za UVCCM Mkoa wa Tanga
Swali langu kwa nyie wanabodi, hivi vyama...
Wakuu,
CCM Zanzibar jana Nov 2, 2024 walisherekea miaka 4 ya uongozi wa Rais Mwinyi pamoja na kuzindua kampeni ya Kijana na Kijani Pemba katika Uwanja wa Gombani, kampeni ambayo inalenga kuhamasisha vijana kupitia CCM kushiriki katika uchaguzi na nafasi mbalimbali za uongozi.
Kampeni hii...
Wakuu,
Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000.
Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi?
====
Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
Wakuu,
Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000.
Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi?
====
Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
Wakuu,
Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000.
Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi?
====
Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba