Ninaandika huu ujumbe nikiwa katika hali ya uchungu mkubwa. Nimechoka! Nimevunjwa moyo! Nimeonewa kiasi cha kuhisi mimi si binadamu tena. Kila siku naamka nikiwa na maumivu mapya, nikiwa na mzigo mzito wa uonevu moyoni mwangu. Ninaomba msaada! Ninaomba mwenye kusikia kilio cha mnyonge anisaidie...