Raʾīs (Arabic: رئيس), plural ruʾasāʾ, is an Arabic title meaning 'chief' or 'leader'. It comes from the word for head, raʾs. The corresponding word for leadership or chieftaincy is riʾāsa. It is often translated as 'president' in Arabic, and as 'boss' in Persian. Swahili speakers may also use it for president. The Ottoman Turkish form of the title is reis, which denoted a captain (a term with identical etymology, being from Latin caput, 'head').
The term raʾīs is of pre-Islamic origin. It may function as an honorific laqab in a person's name. In the central Arab world, the term originally meant village headman.
Rais Putin wa Russia amekataa pendekezo lilitolewa na Rais mteule wa marekani Bwana Donald Trump la kumtaka kusitisha mapigano kati yake na Ukraine na badala yake kuwepo na muda wa miaka 20 baadae ili Ukraine iweze kujiunga na Umoja wa za NATO.
Sambamba na hilo Bwana Trump alipemdekeza pia...
🇷🇺 PUTIN: OUR MISSILES CANNOT BE STOPPED
"We will issue warnings to civilians and to clear the zones that will be targeted, and we will certainly do this in a transparent manner.
We have no fears that this will reduce the effectiveness of these systems, because there is no way to counteract a...
Wanaukumbi.
Rais Putin amekubali kuiuzia Iran Su-35s! Marubani 40x wa Iran wanaelekea Urusi kuanza mazoezi ya ndege za kivita za hali ya juu!! Iran inazidi kuwa nchi yenye nguvu kikanda!!
kuhusu uuzaji wa ndege za kivita aina ya Su-35 kutoka Urusi hadi Iran, pamoja na mafunzo ya marubani wa...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ametoa kauli yenye utata kuhusu Afrika, akisema, “Afrika ni makaburi kwa Waafrika. Inawezekanaje makaburi yakastawi?”
Putin ameeleza kuwa Waafrika waliofanikiwa huweka fedha zao Uswisi, hupata matibabu Ufaransa, huwekeza Ujerumani, hununua bidhaa Dubai, hutumia...
Rais wa Shirikisho la Urusi Putin amefanya ziara yake ya kwanza Korea Kaskazini katika kipindi cha miaka 24 iliyopita akiahidi kuimarisha uhusiano wa kibiashara na kiusalama na taifa hilo lililotengwa lenye silaha za nyuklia na kuliunga mkono dhidi ya Marekani.
Mkutano kati ya viongozi hao...
Rais wa Russia Vladimir Putin amesaini amri inayoruhusu kukamata mali za Marekani, za raia wake na za kampuni zake ndani ya Russia, kama fidia kwa mali za Russia zilizoathiriwa na vikwazo vya mataifa ya Magharibi dhidi ya Moscow.
Nchi za Magharibi zilizuia dola bilioni 300 za mali za kifedha za...
https://twitter.com/TuckerCarlson/status/1755734526678925682?t=UwfeRAPB-CHAYR0o6V6Jig&s=19
-Putin anajua historia sana
-Putin anaendesha ndege ya kiakili juu ya wanasiasa wote wa Amerika
-Putin anaonekana kutaka ushirikiano lakini nchi za Magharibi zimeitenga Urusi
-Putin hataki kuivamia Poland...
Akizungumza katika Televisheni ya Taifa, Rais Vladimir Putin ameitaja ajali ya Ndege hiyo kuwa mbaya na imeua Watu 10 ambao ni Wafanyakazi wa Jeshi Binafsi la Wagner akiwemo Kiongozi wake, Yevgeny Prigozhin ambaye ametoa mchango mkubwa kwa Taifa hilo.
Pia, amesema Kamati ya Uchunguzi imeanza...
Mwanaharakati #AlexeyNavalny ambaye amekuwa akipinga waziwazi utawala Rais #VladimirPutin, alikuwa akituhumiwa kuunda na kufadhili genge lenye itikadi kali na kuendesha uasi dhidi ya Serikali.
Hukumu imesomwa ndani ya Magereza yenye Ulinzi Mkali, Kilomita 250 nje ya Jiji la #Moscow ambako...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewaita viongozi wa kisiasa na kijeshi wa Urusi kuwa ni majambazi na kufutilia mbali uwezekano wa mpango wa amani utakaovigeuza vita vya Ukraine kuwa mgogoro uliositishwa. Kauli ya Zelensky inakuja wakati kilio na huzuni vikitanda kufuatia shambulizi la Urusi...
Kiongozi wa Wagner, Yevgeny Prigozhin ameweka wazi kuwa hakumlenga Putin alipotangaza kuwa wanajeshi wake wangeandamana mjini Moscow akisema: "Hatukuandamana kuupindua uongozi wa Urusi."
Katika ujumbe wake wa video wa dakika 11, anasema: "Lengo la maandamano hayo lilikuwa kuepusha uharibifu wa...
Si rahisi kama weng wanavyofikiria, ICC haina ubavu wa kumshika Putin huyu jamaa ana uwezo wa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club Marekani na akala bata na hakuna wa kimshika.
Miaka au hivi karibuni utaona atafanya hilo jaribio la kuingia maeneo tatanishi.
Hii inasababishwa na...
Jaribio lolote la kumkamata Rais Putin nje ya mipaka ya Urusi litakuwa Sawa na tangazo rasmi la Vita, tutatumia kila Silaha tuliyonayo kutoa majibu ya uhakika na Dunia itashuhudia kile ambacho hakijawahi kutokea, kila ukitembea ukumbuke kuwa angani kuna nguvu Kuu mbili, moja inaitwa MUNGU naya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.