Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa, akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, walipokutana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek, nchini Namibia, baada ya mazishi ya Rais wa Kwanza wa Namibia na Baba...
AFRIKA KUSINI: Chama Tawala cha African National Congress (ANC) kimekubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kupoteza idadi kubwa ya viti vya Ubunge.
Akitoa taarifa hiyo baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama (NEC) Rais Cyrill Ramaphosa amesema “Tumeridhia kuvialika Vyama vya Siasa...
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanaamini kuwa, ziara ya Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa nchini Rwanda kwa ajili ya kuadhimisha miaka 30 ya Mauaji ya Kimbari dhidi ya Watutsi, inaweza kuwa njia ya kukabiliana na uhusiano kati ya nchi hizo mbili na kutafuta suluhu la tatizo hilo alikuja...
AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa amemuondoa kazini Dkt. Thabi Leoka ambaye ni mmoja kati ya Washauri wake katika masuala ya Uchumi kufuatia hoja zilizoanza kuibuliwa kuhusu uhalali wa sifa zake Kitaaluma.
Kwa mujibu wake Dkt. Leoka anadai alipata 'PhD' yake kutoka Chuo Kikuu cha London...
Vyombo vya Habari vya #AfrikaKusini, vimeripoti kuwa Gavana wa Serikali ya #Gauteng, Panyaza Lesufi, alimwandikia Rais #Ramaphosa ombi la Msanii huyo kuzikwa kama Mtu mwenye mchango mkubwa kwa jamii na hivyo apewe heshima ya Kitaifa.
Gavana Panyaza hakuomba fedha za Serikali zitumike kwa ajili...
Mahakama ya Afrika Kusini imesitisha mashtaka binafsi dhidi ya Rais Cyril Ramaphosa yaliyoanzishwa na Rais wa zamani Jacob Zuma.
Ramaphosa alikata Rufaa Mahakamani kujaribu kusitisha juhudi hizo.
Zuma anamshutumu Rais kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya mwendesha mashtaka wa Serikali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.