rais samia 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Joseph Kusaga: Mwaka 2025, Mama ndiye Rais wetu

    Wakuu Joseph Kusaga, Mkurugenzi Mtendaji Clouds Media Group akizungumza kwenye tukio la Uzinduzi wa Malkia wa Nguvu amesema "Huu ni mwaka tunakwenda kwenye uchaguzi na uchaguzi wetu tumeshasema mama ndiye Rais wetu. Mimi Sina Chama ndio maadili ya shughuli ninayofanya lakini mama amepewa...
  2. Mindyou

    Pre GE2025 Siku ya Wanawake Duniani watumishi wasilazimishwe kununua vitenge vyenye picha ya Rais Samia, itakuwa uonevu

    Wakuu, Jana kulikuwa na uzinduzi wa vitenge maalum kwa ajili ya siku ya wanawake. Malalamiko yalijitokeza kuhusu vitenge hivyo kuwa na picha ya Rais ilhali tukio lilikuwa ni la kitaifa na sio la kisiasa. Tunaomba kama vitenge vina picha ya Mwenyekiti wa CCM, watumishi wa umma wasilazimishwe...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia apewa Tuzo ya Gates Goalkeeper Award

    https://www.youtube.com/live/gwDU3yG1pk4 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Amepokea Tuzo ya Gates Goalkeeper Awards Hyatt Regency Hotel Dar es salaam, leo tarehe 04 Februari, 2025. Akizungumza baada ya kupokea tuzo hiyo ametoa hutoba ambapo Rais Samia ameeleza...
  4. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Mwenezi CCM mkoa wa Arusha: Arusha tutampa kura za kishindo Rais Samia

    Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Arusha Saipulani .A. Ramsey amesema wao kama mkoa wanamuombea Mungu Rais Samia Ushindi wa Heshima na watanzania wote wakae tayari kuyapokea maisha mazuri katika miaka mitano mingine ya Dkt.Samia Suluhu Hassan iliafanye ile kazi ya wananchi kwa kuyapokea...
  5. comte

    Unafiki wa wanasheria wa Tanzania

    Toka katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iweke ukomo wa mtu kukaa kwenye nafasi ya urais kwa miaka 10 kwa vipindi vya miaka 5, mgombea wa CCM aliye na stahiki ya kugombea mhula wa pili baada ya kumaliza mhula wa kwanza hashindanishwi na wenzake ndani ya chama chake. Ilikuwa hivyo toka kwa...
  6. L

    Kesho Mtaniona Live na kunifahamu nitakaposhiriki Kwenye maandamano makubwa Mkoa wa Songwe Ya kumpongeza Rais Samia kwa kuteuliwa Kugombea Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Siku ya kesho ya Jumamosi natarajia kushiriki katika Maandamano Makubwa Mkoa Wa songwe ya Kumpongeza RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya Urais katika Uchaguzi Mkuu...
  7. Cute Wife

    Pre GE2025 Ushindi wa Lissu unamaanisha nini kwa Watanzania? Tunapata picha gani Uchaguzi Mkuu 2025? Samia atapumua? Ukabila kuisha?

    Wakuu, Lissu amekuwa akiongelewa kama mtu mwenye misimamo, aliyenyooka, na siyo rahisi kuyumbishwa. Yeye na Heche imekuwa pea moja ambayo inaendana kwa kwenye misamamo na njia zao za kuongoza wote wakiongelea mabadiliko makubwa ndani ya chama na maeguzi kwenye siasa za Tanzania. Baada ya...
  8. Ojuolegbha

    Pre GE2025 Dkt. Samia Suluhu awakumbusha CCM kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Mpiga kura

    Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Ametuma salamu kwa Wanachama wote wa CCM nchi nzima na kuwakumbusha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Mpiga kura ili waweze kupiga kura muda ukifika.
  9. Nyendo

    Pre GE2025 Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu Rais akimaliza muda wake, Rais Samia aridhia ombi hilo

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amemwandikia barua ya kuomba apumzike Umakamu wa Rais ambapo amesema baada ya kutafakari ameridhia ombi hilo. Lakini kwa sasa Dkt. Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hadi utakapofanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
  10. D

    Ushauri kwa Mama Samia baada ya kushinda uchaguzi mkuu kwa 97%

    1. Mteue Makonda kuwa waziri wa mambo ya ndani. Nakuapia vibaka wote, hawa panya road hadi wale wanaowaibia wazungu huko nje kwa kofia ya siasa wataacha. In fact, watapigwa marufuku hata kwenda huko kiholela. 2. Mrejeshe Kalemani kwenye wizara. Yuko smart yule mtu. 3. Fanya kitu hapo Jangwani...
  11. Mindyou

    Pre GE2025 Steve Nyerere adokeza kuwa Rais Samia amekuwa akimuulizia mchekeshaji Asha Boko. Asha Boko alia machozi baada ya kupokea zawadi

    Wakuu, Akiwa anatoa "zawadi" ya bodaboda hivi karibuni kwa mchekeshaji Asha Boko, Steve Nyerere amesema kuwa kuna kipindi alikuwa na Rais Samia na kwamba Rais Samia alimuuliza yeye kuhusu wapi alipo Asha Boko. Binafsi nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa hizi zawadi zinatoka kwenye mfuko wa hiyo...
  12. Mindyou

    Pre GE2025 ACT Wazalendo, CUF na CHAUMA zataka Rais Samia atimize ahadi yake ya kuwepo kwa Uchaguzi mkuu wa huru na wa haki

    Wakuu, Inaonekana kwamba bado vyama vya upinzani vina imani na mchakato wa Uchaguzi nchini ========== Vyama vya upinzani vimeitaka Tume Huru ya Uchaguzi kuhakikisha inasimamia misingi ya haki na matakwa yote ya kisheria katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 siku moja baada ya Rais Samia...
  13. Cute Wife

    LGE2024 Nchimbi: Tunasumbuliwa na maombi nchi jirani kujifunza Samia amefanyaje kueleta maendeleo nchini, kazi yake nzuri inajiuza

    Wakuu, Kumbe kuna watu wanapigana kupata nafasi ya kujua tanzanania tunaishije kama tupo Dubai na watu hamseni? Mna siri nyinyi :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh: Watanzania wanasema katika mikutano kasi ya maendeleo iliyopatikana katika miaka hii 4 hawajawahi kukutana nayo...
  14. K

    Kilele cha wiki ya vijana mwanza chawaibua maelfu ya vijana wakiapa kusimama na Rais Samia 2025, wapinzani wabaki midomo wazi wasijue cha kufanya

    Kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Vijana kilichofanyika jana Mkoani Mwanza kimethibitisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi anayependwa na kukubalika na kundi kubwa la vijana. Shangwe, nyimbo, na hisia za wazi zilizojitokeza zilionyesha jinsi vijana wanavyomuunga mkono kwa dhati...
  15. Idugunde

    Watumishi waagizwa kumtafutia kura Rais Samia 2025

    👇
  16. L

    Pre GE2025 CCM Tumeamua Kumpa Mitano Tena Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Huo ndio uamuzi kutoka katika mioyo ya mamilioni ya wafuasi, wakereketwa,mashabiki na wanachama wa CCM Nchini kwote.kuwa ni lazima tumpe Miaka mitano Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
  17. Chachu Ombara

    Pre GE2025 Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) wajutia tuzo waliyompatia Rais Samia mwaka 2023

    "Leo (Jumatatu, Septemba 30.2024) Bawacha tumewaita (wanahabari) hapa (makao makuu ya zamani ya CHADEMA) kufanya tukio la kuonyesha hasira zetu dhidi ya Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania), mwaka jana tarehe 3/8/2023 BAWACHA tulimualika kwenye kongamano la...
  18. ChoiceVariable

    Pre GE2025 Rais Samia: Uchaguzi ujao chagueni maendeleo, anayekufaa wakati wa dhiki ndiye rafiki

    "Niwaombeni chaguzi zinazokuja hizi elekeeni kwenye maendeleo, waswahili wanasema anayekufaa kwa dhiki ndiye nani? sasa ntakushangaa una rafiki mzuri ndani ya nyumba yako anayekufaa kwa dhiki zote, kula, kuvaa na yote, unakwenda kwa rafiki mwingine nje ya nyumba yako ambaye hakufai kitu au...
  19. MSAGA SUMU

    Pre GE2025 Miaka 3 kwenye game, suala la nyomi bado inaonekana shida kwa Rais Samia

    Karibia miaka 3 sasa lakini suala la kujaza watu kwa mama Samia bado linaonekana shida. Ukiachana na watu wa hamasa wa UVCCM ambao huwa wanatangulia kituo kinachofuata kwa ajili ya kumpokea rais, viongozi wa CCM na serikali, pamoja na msafara inaonekana mama Samia anapitia wakati mgumu sana...
  20. Oppomall

    Hongera Rais Samia kwa mabadiliko uliyofanya

    Salaam! Kipekee sijawahi kuandika kuhusu Mhe. Rais ila kwa leo naona nimpongeze kwa teuzi na tenguzi alizofanya kipindi hiki. Haya ni moja ya maamuzi bora sana na ya heshima ameyafanya, katika makosa makubwa ambayo yalikuwa yamefanyika ni kuwaweka jikoni watu wenye tamaa ya madaraka hiyo ni...
Back
Top Bottom