rais samia 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Rais Samia hakubaliki Tanzania 2025, kazi iliyopo ni kutumia mbinu mbadala

    Taarifa za ndani kabisa ni kwamba mama hakubaliki lakini Nani atamfunga paka kengele kilichopo ni kwamba madaraka ni matamu! Mama hata yeye anajuwa hakubaliki anategemea vijana wake wamfanyie kazi ndiyo maana hakemei wizi na hana nguvu ya kufukuza kazi waziri yeyote kwani alishaaminishwa na mzee...
  2. U

    Najitolea kuwa katika kamati inayomuunga Mkono Rais Samia kuelekea Uchaguzi

    Najitolea kwa moyo wangu wote bila shuruti kwenye kamati maalumu itakayoleta ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 Wadau hamjamboni nyote? Mimi ndugu na rafiki yenu Nimesukumwa na uzalendo, utii na mapenzi makubwa kwa nchi yangu Nimeridhishwa...
  3. K

    Pre GE2025 Tulio tayari kufanikisha ushindi wa kihistoria wa Rais Samia 2025, tujipongeze kwa kulitendea haki Taifa

    Pongezi za dhati na za kipekee ziende Kwa viongozi wetu wakuu wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi AbdulRahman Kinana na Waziri mkuu wa JMT Mhe. Kassim Majaliwa Kwa kuwa wapambanaji hodari wa kufanikisha ushindi wa kihistoria wa Rais Samia 2025 Pongezi hizi Kwa viongozi hao ni...
  4. K

    Pre GE2025 Wakuu wa shule kumchangia fedha ya kuchukua fomu ya Urais Rais Samia 2025, hiki ni "kituko" cha kufungia mwaka

    Kama mdau wa Elimu na maendeleo ya kijamii, taarifa za wakuu wa shule kumchangia Mama Samia fedha za kuchukua fomu ya Urais kabla ya mchakato husika kuanza linaleta ukakasi na maswali mengi juu ya uwezo wa kupambanua mambo wa hawa viongozi walioaminiwa kusimamia elimu ya watoto wetu. Je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…