Hashim Rungwe
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amesema hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi mkuu mwakani bila kuwa na Katiba mpya.
Anasema haamini kama Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi pekee inatosha kuufanya uchaguzi kuwa huru na wa haki kama Katiba...
Baada ya Rais Samia kumaliza kutawala muhula miwili kwa mujibu wa katiba Watanzania tutajitokeza kuandamana kumtaka aendelee na tutashinikiza bunge lifanye mabadiliko Rais Samia aongezewe Muda pengine hadi atakaposema imetosha.
Rais Samia anakuwa Rais wa kwanza kupaisha uchumi na hali za maisha...
Baada ya uchaguzi mkuu ambao ni moja ya chaguzi mbaya kupata kutokea Tanzania, bunge la Tanzania kupitia wabunge wake wa chama kimoja waliopatikana baada ya uchaguzi kuchafuliwa na tume ya uchaguzi kulizuka mjadala bungeni wa kuwa rais Magufuli aongezewe muhula wa uongozi.
Mbunge wa Makambako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.