Akizungumza leo, Jumatatu, Februari 24, 2025, katika mkutano wa hadhara wilayani Lushoto, Makamba amesema kuwa uzinduzi wa jengo la Halmashauri la Bumbuli ni kielelezo cha shukrani na mapenzi ya wananchi wa Bumbuli kwa Rais Samia na Serikali yake.
"Umeona umati mkubwa wa watu waliokusanyika...