Wakuu,
Mambo yameendelea kupamba moto.
Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, ametaka Rais wa Tanzania Samia Suluhu apigwe marufuku kuingia nchini Kenya kwa sababu yoyote ile, kufuatia mvutano uliotokana na kuzuiliwa kwa mawakili watatu wa Kenya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...