Rais Samia alipokelewa kikawaida tu wakati Mfalme wa Uarabuni ndege yake ilipoingia tu Anga la Korea ilipokelewa na ndege za kijeshi na kusindikizwa Hadi ilipotua
Maskini ana mapokezi yake na Matajiri Wana mapokezi Yao
Ona tajiri Mfalme alivyopokelewa na Matajiri wenzie wa korea...
Hii picha imenichekesha sana 🤣.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana na Rais kwenye hizo ziara zake za nje ya nchi na wao hulipwa hizo posho za siku?
Tumeambiwa kuwa...
Imeelezwa Marais wa Rwanda, Zimbabwe na Kenya wako Korea Kuungana na Rais Samia kwenye Mkutano wa kihistoria wa Korea Kusini na Africa
Museven amewakilishwa na Naibu wake
Credit: Naipamei Kaikai X
Kingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo?
Je tukisema kwamba jambo hili lilikuwepo kabla ya kusemwa tutakuwa tunakosea?
Ifahamike kwamba hatuna uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.