Sasa hivi kuna visingizio vingi sana vya eda ya raisi Samia baada ya kufiwa mume wake, watu wakidai inabidi tuelewe kwamba ana eda ya miezi minne na siku 10 kwa ajili ya kufiwa mume wake, hata kama yeye alikuwa mke mdogo. Sasa tuwekane sawa.
Kwanza ieleweke katiba yetu ya Tanzania haina dini...