Rais Samia Suluhu Hassan amewataka machifu nchini kote kujenga mvuto ili watu wakimbilie kwao wanapokuwa na migogoro badala ya kila kesi kupelekwa polisi na kisha mahakamani.
Amesema ili jamii iwakimbilie ni muhimu wajenge mazingira ya uadilifu, uaminifu na kutenda haki na kwamba anaamini jambo...