Rais Samia akizungumza na wananchi wa Peramiho amesema kuwa Sera ya CCM ni wananchi waishi maisha ya amani na kuwe na utulivu wa kisiasa wananchi waweze kufanya mambo yao kwa raha kabisa, hayo mambo mengine waachie wenyewe.
Nendeni mkachague wagombea wa CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa...